Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Wapi hukoNdio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi hukoNdio
Kwani na wewe ni mleviWapi huko
Wewe ukiitwa maskini huwa unakasirika tuanzie hapoKama una faida kwa nini akiitwa masikini anakasirika hata kama ni masikini
Nilijua mtaona alafu mumkaushie 😂😂Ni DISADVANTAGE na si DESADVANTAGE
Sio kwa maskini wa TanzaniaNilijua mtaona alafu mumkaushie 😂😂
Sawa mzee kikwavaFaida ya kuwa masikini
•unatulia na ndoa yako.
•ajari za barabarani utazikwepa kwa 50% kwasabu husafiri safiri
•Hypertension na correstral utakufa huzifaham
•utakufa kwa kukosa nauli na hela ya matibabu
Ni mnywaji sio mleviKwani na wewe ni mlevi
Kama weweMASKINI ANA ROHO MBAYA.
Sawa ila una faida piaUmasikini uliokithiri na m'baya sana.
Maskini unatumia jamii forum ukiwa wapi?MASKINI ANA ROHO MBAYA.
Kabisa mzeeNi kweli kabisa, huwezi kusikia masikini kapata depression, obesity, cholesterol etc .
Ni kukiinua chama chetuLeo ngoja nikupe faida za UMASKINI,.