Faida za UMASKINI

Faida za UMASKINI

Alafu umaskini raha yake huwezi sikia unaumwa magonjwa ya ajabu ajabu eti sijui cancer mara add sijui alzaimers au kisukari na presha.

Mwisho kabisa maskini tunakula mbususu kavu kavu. Hakunaga maskini anagegeda na condom hizo ni za wasomi na matajiri
Fuatilia vizuri, kuna maskini wanaumwa magonjwa makubwa inabidi wawe na mafaili makubwa kama mawakili, ila yao yana barua za msamaha wa gharama za matibabu kuanzia kwa Mtendaji wa Kijiji hadi Ikulu.
Kuhusu kugegeda kavu, acha zile choroko uone kama huangushi gari njia panda.
 
Wanaumwa mkuu ila haiitwi cancer.

Masikini hana hela ya diagnosis aambiwe ana kansa, ni mganga atamwambia umetupiwa jini na mama yako mzazi kwa maelekezo ya marehemu bibi yako kisha atafungiwa ugoro akiaminishwa ni dawa avute apige chafya mpka mauti imkute.
 
Matajiri wanaandikaje "Get rich o Die trying" ?
Yaani ukaeka na kimombo ili utambulike kuwa tajiri.

Kiufupi tu maskini wengi huwa wanaweka maneno kwa kifupi ili kuzuia kifurushi cha sms kisienda sana.
(Mamb, vp, wapi, hom, o, sijawah,

Maneno hayo nimeyaona kwenye uandishi wako. Hii inaonekana wewe ni maskini wa kutupwa
 
Wanaumwa mkuu ila haiitwi cancer.

Masikini hana hela ya diagnosis aambiwe ana kansa, ni mganga atamwambia umetupiwa jini na mama yako mzazi kwa maelekezo ya marehemu bibi yako kisha atafungiwa ugoro akiaminishwa ni dawa avute apige chafya mpka mauti imkute.
Ah wapi sie hatuumwi cancer ila tunalogana kweli sio poa
 
Yaani ukaeka na kimombo ili utambulike kuwa tajiri.

Kiufupi tu maskini wengi huwa wanaweka maneno kwa kifupi ili kuzuia kifurushi cha sms kisienda sana.
(Mamb, vp, wapi, hom, o, sijawah,

Maneno hayo nimeyaona kwenye uandishi wako. Hii inaonekana wewe ni maskini wa kutupwa
Hujui kitu kuhusu kufanikiwa.
 
Fuatilia vizuri, kuna maskini wanaumwa magonjwa makubwa inabidi wawe na mafaili makubwa kama mawakili, ila yao yana barua za msamaha wa gharama za matibabu kuanzia kwa Mtendaji wa Kijiji hadi Ikulu.
Kuhusu kugegeda kavu, acha zile choroko uone kama huangushi gari njia panda.
Kwenda hukoo kwanza sie maskini ukimwi tunaisikia kwenu matajiri🤣🤣🤣🤣
 
Ah wapi sie hatuumwi cancer ila tunalogana kweli sio poa
Mkuu, masikini wanaugua cancer sana tu ila nani anawaambia ni cancer?

Mganga akiona uvimbe ambao hospitalini wataalam wangechunguza iwapo ni cancer, yeye anakuwa na nyembe zake na upupu, anakuchanja anakupulizia ukiwashwa unaambiwa dawa inafanya kazi usijikune.
 
Ukiwa una macho yote mawili na yanafanya kazi, mikono yako inanguvu yaani viungo vyako vyote vipo timamu hapo ulipo jipige kifuani jiambie wewe siyo maskini wewe ni tajiri
Sio utajiri ninao uzungumzia, wewe ndio wale ukiwa na charahani tatu una kiwanda au sio
 
Biblia inaonyesha umaskini ni matokeo ya maamuzi mabaya, uvivu, au kutotii amri za Mungu:
  • "Atendaye kwa mkono mlegevu huwa maskini, Bali mkono wa mwenye bidii hutajirisha." (Mithali 10:4)
  • "Kwa maana aliyelala wakati wa mavuno ni mwana mwenye aibu." (Mithali 10:5)
  • Mithali 13:4 "Nafsi ya mvivu hutamani, wala hana kitu; Bali nafsi ya mwenye bidii itashiba."
  • Mithali 20:13
    "Usipende usingizi, usije ukawa maskini; Fumbua macho yako, nawe utashiba chakula."
    Mithali 28:19
    "Alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele; Bali afuataye mambo ya upuzi atashiba umaskini."
    2 Wathesalonike 3:10
    "Kwa kuwa hata tulipokuwa kwenu tuliwaamuru neno hili, kwamba ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi asile chakula."
    Mithali 22:29
    "Je! Umemwona mtu aliye hodari katika kazi yake? Atasimama mbele ya wafalme; Hatakaa mbele ya watu wa hali ya chini."
 
Na ndugu zako wafundishe hivyo afu ukipata rufaa ya KCMC mgawane mitaa kuomba na barua ndefu ya Katibu Tawala wa Wilaya

Sisi wasomaji hatufungamani na upuuzi huu. Tunaomba utajiri hata kama si kwa wote basi hata mmoja
 
"Maskini ni laana ambayo Mungu alishakupa duniani"..Mtoa mada unafikiria kabla ya kuandika so unamaanisha maskini wote wamelaaniwa na matajiri wote wamebarikiwa?Mitume na manabii wenu wengi wao wameishi maisha ya kawaida nao walikuwa wamelaaniwa?Yesu alizaliwa kwenye hori na la ng'ombe na aliishi maisha ya kawaida je na yeye alikuwa amelaaniwa?Hiki ni kizazi cha watu wenye macho ila hawaoni,wana masikio lakini hawasikii.Mungu ana mpango na kila mtu awe tajiri au maskini!
 
Mbona makasiliko
 
Msiwaze humu wengi tu middle income,naona watu wanapata shida na haya maneno.

FUKARA; Umaskini uliotopea, (chronic level)kutoka humo ni kimbembe.

MASIKINI(MBANGAIZAJI); Mtu anayebahatisha maisha( kiswahili fasaha wanasema mtu asiye na uwakika wa chochote katika hali mbalimbali za vitu vya msingi katika maisha; elimu,ngono,chakula malazi na mavazi).

MIDDLE INCOME; Hawa kiswahili chao sikijui vizuri labda mnisaidie ila hawa ndo kundi linalofaidi hii dunia na ndo wengi( Hawa wanaweza kuwa wanapata vitu vya msingi katika maisha( elimu,ngono,chakula,malazi na mavazi) kwa wastani mpaka kwa kiwango cha juu.

MATAJIRI; Hawa ni kundi la watu wanaopata vitu vya msingi katika maisha kwa kiwango cha juu na kupitiliza.Hawa ni wachache.
 
Back
Top Bottom