Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuatilia vizuri, kuna maskini wanaumwa magonjwa makubwa inabidi wawe na mafaili makubwa kama mawakili, ila yao yana barua za msamaha wa gharama za matibabu kuanzia kwa Mtendaji wa Kijiji hadi Ikulu.Alafu umaskini raha yake huwezi sikia unaumwa magonjwa ya ajabu ajabu eti sijui cancer mara add sijui alzaimers au kisukari na presha.
Mwisho kabisa maskini tunakula mbususu kavu kavu. Hakunaga maskini anagegeda na condom hizo ni za wasomi na matajiri
Wanaumwa mkuu ila haiitwi cancer.Alafu umaskini raha yake huwezi sikia unaumwa magonjwa ya ajabu ajabu eti sijui cancer mara add sijui alzaimers au kisukari na presha.
Mwisho kabisa maskini tunakula mbususu kavu kavu. Hakunaga maskini anagegeda na condom hizo ni za wasomi na matajiri
Yaani ukaeka na kimombo ili utambulike kuwa tajiri.Matajiri wanaandikaje "Get rich o Die trying" ?
Ah wapi sie hatuumwi cancer ila tunalogana kweli sio poaWanaumwa mkuu ila haiitwi cancer.
Masikini hana hela ya diagnosis aambiwe ana kansa, ni mganga atamwambia umetupiwa jini na mama yako mzazi kwa maelekezo ya marehemu bibi yako kisha atafungiwa ugoro akiaminishwa ni dawa avute apige chafya mpka mauti imkute.
Hujui kitu kuhusu kufanikiwa.Yaani ukaeka na kimombo ili utambulike kuwa tajiri.
Kiufupi tu maskini wengi huwa wanaweka maneno kwa kifupi ili kuzuia kifurushi cha sms kisienda sana.
(Mamb, vp, wapi, hom, o, sijawah,
Maneno hayo nimeyaona kwenye uandishi wako. Hii inaonekana wewe ni maskini wa kutupwa
Kwenda hukoo kwanza sie maskini ukimwi tunaisikia kwenu matajiri🤣🤣🤣🤣Fuatilia vizuri, kuna maskini wanaumwa magonjwa makubwa inabidi wawe na mafaili makubwa kama mawakili, ila yao yana barua za msamaha wa gharama za matibabu kuanzia kwa Mtendaji wa Kijiji hadi Ikulu.
Kuhusu kugegeda kavu, acha zile choroko uone kama huangushi gari njia panda.
1000 hadi laki 900000Kiwango cha kuwa masikini kinaanzia wapi na kuishia kuishia wapi? Sifa za kuwa masikini ni zipi?
Mkuu, masikini wanaugua cancer sana tu ila nani anawaambia ni cancer?Ah wapi sie hatuumwi cancer ila tunalogana kweli sio poa
Wewe ndio haujui kitu kuhusu UMASKINIHujui kitu kuhusu kufanikiwa.
Sio utajiri ninao uzungumzia, wewe ndio wale ukiwa na charahani tatu una kiwanda au sioUkiwa una macho yote mawili na yanafanya kazi, mikono yako inanguvu yaani viungo vyako vyote vipo timamu hapo ulipo jipige kifuani jiambie wewe siyo maskini wewe ni tajiri
Ni bure?Pia huwa wanakunywa pombe za kienyeji
NdioNi bure?
AhaaaNa ndugu zako wafundishe hivyo afu ukipata rufaa ya KCMC mgawane mitaa kuomba na barua ndefu ya Katibu Tawala wa Wilaya
Sisi wasomaji hatufungamani na upuuzi huu. Tunaomba utajiri hata kama si kwa wote basi hata mmoja
Mbona makasiliko"Maskini ni laana ambayo Mungu alishakupa duniani"..Mtoa mada unafikiria kabla ya kuandika so unamaanisha maskini wote wamelaaniwa na matajiri wote wamebarikiwa?Mitume na manabii wenu wengi wao wameishi maisha ya kawaida nao walikuwa wamelaaniwa?Yesu alizaliwa kwenye hori na la ng'ombe na aliishi maisha ya kawaida je na yeye alikuwa amelaaniwa?Hiki ni kizazi cha watu wenye macho ila hawaoni,wana masikio lakini hawasikii.Mungu ana mpango na kila mtu awe tajiri au maskini!