Faida za UMASKINI

Faida za UMASKINI

Msiwaze humu wengi tu middle income,naona watu wanapata shida na haya maneno.

FUKARA; Umaskini uliotopea, (chronic level)kutoka humo ni kimbembe.

MASIKINI(MBANGAIZAJI); Mtu anayebahatisha maisha( kiswahili fasaha wanasema mtu asiye na uwakika wa chochote katika hali mbalimbali za vitu vya msingi katika maisha; elimu,ngono,chakula malazi na mavazi).

MIDDLE INCOME; Hawa kiswahili chao sikijui vizuri labda mnisaidie ila hawa ndo kundi linalofaidi hii dunia na ndo wengi( Hawa wanaweza kuwa wanapata vitu vya msingi katika maisha( elimu,ngono,chakula,malazi na mavazi) kwa wastani mpaka kwa kiwango cha juu.

MATAJIRI; Hawa ni kundi la watu wanaopata vitu vya msingi katika maisha kwa kiwango cha juu na kupitiliza.Hawa ni wachache.
Sawa
 
Alafu umaskini raha yake huwezi sikia unaumwa magonjwa ya ajabu ajabu eti sijui cancer mara add sijui alzaimers au kisukari na presha.

Mwisho kabisa maskini tunakula mbususu kavu kavu. Hakunaga maskini anagegeda na condom hizo ni za wasomi na matajiri
Wewe na mbususu mpk mzikwe pamoja 😹
 
MOYO WA MASKINI NI WENYE UTULIVU
Ndio maskini hupata tabu ya mwili, ila kapewa amani ya akili na mwenye moyo mtulivu na amani.
Maskini haitaji ulinzi wa mabaunsa mlangoni kwake, wala haitaji kupima chakula kabla ya kukila. Maskini huokota tunda na kulila bila kuwaza, tena bila kuzulika.
Kweli kuna jamaa ni Jirani ya gu Mwislam hana kitu hata kula kwake ni shida sana.

Ila anaoa kila baada ya miaka miwili na anatoa na mahali. Baada ya miaka miwili anaacha.

Anaishi kwenye nyumba ya mama yake, baba yake alishafariki, dada zake wote watatu wameachika wamerudi nyumbani kwao na watoto.nyumba si zaidi ya vyumba vutatu.

Hana wasi wasi na anaonekana ana furaha.
😅😅
 
Maskini huwa tunasubiria miaka ya uchaguzi ndiyo tupate Nguo Nzuri za vyama vya siasa. Nguo hizo ugaiwa bure huku tukiambiwa Ni Takrima ya chama. Kisha tunaambiwa tulipe fadhira kwenye sanduku la kura.☑️☑️
T-shirt.jpg


Maskini tunakula tunashiba chakula chochote Bila kujali kimepikwaje au mazingira ya upikaji.
Kupika.jpg

Maskini tunakunywa Maji yoyote, tunashare Maji na mifugo yetu katika dimbwi moja. 🤪🤪🤪
Habari za kumtua mama ndoo kichwani hizo stori tunazisikiaga redioni Tu.🚱🚱🚱
Maji.jpg


Tukishashiba Ugali wetu Wa udaga, tunakutana marafiki kuchangamsha akili kwenye kijiwe chetu cha mama Muuza. Hiyo inaitwa Jisevie utakavyo. 🍺🍺🍺
Alcohol.jpg


NB: ila pamoja na yote hayo, tusiache kutafuta Pesa.
 
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️

Leo ngoja nikupe faida za UMASKINI,.
Unaambiwa katika dunia kila kitu kina hasara na faida. Hivyo kabla kufikilia kufanya unashauliwa kuanza kuangalia pande zote mbili yaani (ADVANTAGE na DESADVANTAGE ) kimombo changu changu kinaweza kisiwe sawa ni kutokana na kiwango chagu cha elimu.
Pia kama wewe ni mpambanaji na unapambana juu ya umaskini na hali ya maisha uliyonayo kwasasa basi nikutie moyo pambana sana, kwamaana FAIDA za umaskini si lolote si chochote ukilinganisha na hasara zake.

Sina sababu za kumuelezea sana maskini kwa maana maskini wenyewe mnajijua na matajiri pia mnajijua.

Faida kubwa za UMASKINI
1. MASKINI HANA SIKU YA HUKUMU
maskini ukifa umekufa, maskini haukumiwi maskini ni laana ambayo Mungu alishakupa duniani na mahangaiko yako. Kama unahisi kuwa utahukumiwa ukifa wewe sio maskini labda wale matajiri.
Maskini haambiwi atoea sadaka wala haambiwi aende kuiji makka wala haulazimishwi kwenda ibadani wewe ibada yako ni kuhangaika. Nenda kahangaike na kulipia watoto ada, nenda kahangaike na pango za nyumba nenda kahangaike na kula maswala ya kwenda kuimba ibadani waachie walio jipata, na Mungu atakuwa pamoja na wewe.


2. MASKINI HAFIRISIKI
Maskini hawazii sijui kufirisika, sijui kushuka kiuchumi,.
Maskini akipata poa akikosa poa pia.

3. MOYO WA MASKINI NI WENYE UTULIVU
Ndio maskini hupata tabu ya mwili, ila kapewa amani ya akili na mwenye moyo mtulivu na amani.
Maskini haitaji ulinzi wa mabaunsa mlangoni kwake, wala haitaji kupima chakula kabla ya kukila. Maskini huokota tunda na kulila bila kuwaza, tena bila kuzulika.

4. MARA NYINGI ANAKUWA HURU
mara nyingi anakuwa jamiiforum, mara nyingi anakuwa kijiweni kwenye vijiwe vya kawaha nk, mara nyingi hupenda kuzunguka zunguka na kuranda mitaani huku na kule na ndio wengi wao tunawaona facebook instagram na X.

5. KUNYWA POMBE ZA KIENYEJI
Kati ya vitu maskini huwa anafaidika navyo ni pombe za kienyeji, pombe ambazo zimejaa mambo mengi mazuri na yenye furaha.

6. UMASKINI HUFA JASIRI
Maskini haachi majumba makubwa , magari wala viwanja.
Huchumia tumbo lake mpaka mwisho wa pumzi yake.
Huyu ndio mwamba, anakuja kwenye dunia na kuondoka bila kuacha ushahidi. Mr silent
Hasara moja tu ya kuwa tajiri ni kugongewa mke tena anagongwa bure na yeye ndo anahonga. Hiyo tu ndo hasara moja ya kuwa tajiri.
 
Yaani ukaeka na kimombo ili utambulike kuwa tajiri.

Kiufupi tu maskini wengi huwa wanaweka maneno kwa kifupi ili kuzuia kifurushi cha sms kisienda sana.
(Mamb, vp, wapi, hom, o, sijawah,

Maneno hayo nimeyaona kwenye uandishi wako. Hii inaonekana wewe ni maskini wa kutupwa
Hahaha acha vituko wewe labia majora
 
Alafu umaskini raha yake huwezi sikia unaumwa magonjwa ya ajabu ajabu eti sijui cancer mara add sijui alzaimers au kisukari na presha.

Mwisho kabisa maskini tunakula mbususu kavu kavu. Hakunaga maskini anagegeda na condom hizo ni za wasomi na matajiri
Kwenye kugegeda kavu sio kweli maskini wengi tunatumia ndom
 
Usijifariji, tangu umemsikia Bakhresa ushawahi kumuona kapitia hayo uloyaandika kama faida?
Umasikini ni vazi lisilompendeza yetote yule.
 
Back
Top Bottom