a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 611
- 993
Tajiri kuingia mbinguni ni ngumu kuliko kwa ngamia kepenya kwenye tundu la sindano.(Hii ndio hasara ya utajiri).
Siamini kama kuwa masikini ni laana na kuwa tajiri ni baraka ,kwasababu hata shetani kuzimu majini waganga wa kienyeji...wanaweza kumpa mwanadamu utajiri mafanikio.Mfano mtu aliyepata utajiri wake kwa kufanya magendo shughuli haramu au kutoka kwa nguvu za giza siwezi kuita amebarikiwa.
Nikiangalia baadhi ya mitume na manabii wa mwanzo wengine hawakuwa matajiri sio kama hawa wa sasa wa mafuta ya upako.
Kwenye biblia kuna mfano wa MASKINI na tajiri lazaro.(alioutoa Yesu na Yesu huwa anatoa mifano ya kweli hasemi uongo)
MASKINI baada ya kufa alikwenda peponi(hii ina maaanisha maskini sio mlaaniwa..mana mbingu ni takatifu na waingiao mbinguni ni watakatifu.)
MLAANIWA ni shetani na wafiasi wake na mlaaniwa shetani na walaaniwa wengine ndio huenda motoni...sasa katika mfano huu wa tajiri lazaro na masikini...aliyeingia motoni ninTAJIRI LAZARO.
Mfano mwingine alioutoa Yesu alipokuwa akipita na wanafunzi wake walimuona masikini(wale wanafunzi wakamdharau yule masikini na kumuhukumu kwa kumuona UMASIKINI WAKE ni kama adhabu au laana ..waliwaza hivi huyu masikini alitenda kosa gani dhambi gani kubwa kiasi akapata laana au adhabu kubwa hivi ya kuwa masikini na omba omba kiasi hiki....
Yesu aliwajibu...wasifikiri yuke maskini ni WORST SINNER THAN ANY ONE ELSE..Do you think that these Galileans were worse sinners than all other Galileans because they have suffered in this way?luke 13.
sio kwamba umasikini ni adhabu au laana ,au yeye masikiini ni mdhambi kuliko wasio masikini,au wao wasio masikini ni wasafi kuliko masikini).
HITIMISHO
Napinga kuwa umasikini ni laana.
Napinga kuwa utajiri ni baraka aisee kuna matajiri wa kutumia ndago,kimbola wameharibu watoto wao au ndugu zao wamekuwa matahira wengine wametoa kafara.
.UTAJIRI wa kizazi chetu una siri nyingi sana japo sio matajiri wote.Wapo wanaokesha kwa waganga wapo waliouza nafsi zao roho zao kwa MIZIMU YA KWAO na kwa shetani au majini ,wapo waliopata kwa kufanya mambo haramu biashara haramu.UTAJIRI UNA SIRI KUBWA..wapo waliopata kwa WIZI ,na rushwa,na kumwaga damu za watu..dirty money.pesa chafu za damu.,ambao ni utajiri wa laana sio baraka.
Wakati mwingine watu wengine wanakataa kupokea rushwa kulamba asali sio kwamba hawataki utajiri ila wao wanaona ni heri kuchagua jina jema kuliko mali,heri kuchagua haki na utu kuliko heri kula chakula cha mboga panye upendo amani na utu kuliko ngombe aliyenona pamoja chakula najisi cha wafalme hawako tayari kujinajisi kwa utajiri haramu.
Unaweza ukawa TAJIRI WA ROHO yani una matunda ya roho mtakatifu furaha amani,upendo,utu wema,upole kiasi,fadhili,imani nk.
Hatukuja na kitu duniani na tena hatutaondoka na kitu duniani.