Faida za vitunguu saumu kwa wanaume na jinsi ya kutumia

Faida za vitunguu saumu kwa wanaume na jinsi ya kutumia

Dah Jamani nilisumbuliwa na vidonda vya Tumbo muda mrefu lakini tangu nianze dozi ya vitunguu swaumu nimekuwa mpya balaa kila siku asubuhi natumia punje Sita na glassi mbili za maji kutwa maramoja jaribu hivyo kwa wiki mbili utaona Majibu yake.
 
kinga, tiba na nguvu za kiume
Kuhusu tiba inategemea na ugonjwa wenyewe, wacha niongelee kinga,
kwenye kinga huwa inasaidia pia na nguvu za kiume, yaani unapiga two in one.
Unatakiwa utafune angalau punje tatu za kitunguu swaumu kilasiku asubuhi baada ya kuamka kabla ya kula chochote labda maji, the usiku kabla ya kulala, au unaweza ukatumia hata mara moja kwa siku, inategemea yani na unavyopenda, ila mimi kwa kinga nilikuwa natumia marambili kwa siku
 
dah Jamani nilisumbuliwa na vidonda vya Tumbo mda mrefu lakini tangu nianze dozi ya vitunguu swaumu nimekuwa mpya balaa kila siku asubuhi natumia punje Sita na glassi mbili za maji kutwa maramoja jaribu hivyo kwa wiki mbili utaona Majibu yake
Asante sana mkuu.Huo ugonjwa unanitesa sana
 
dah Jamani nilisumbuliwa na vidonda vya Tumbo mda mrefu lakini tangu nianze dozi ya vitunguu swaumu nimekuwa mpya balaa kila siku asubuhi natumia punje Sita na glassi mbili za maji kutwa maramoja jaribu hivyo kwa wiki mbili utaona Majibu yake
Maji yapi? Moto /baridi / vuguvugu
 
Habari sana jamii naomba kufahamu juu ya hili nililolisikia katika viunga vya vijiweni kuwa ukiwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni unakuwa kwenye tendo la ndoa Una paswa kutumia mchanganyiko wa kitunguu swaumu na tangawiz pamoja na

kitunguu maji katika mtindo wa juice katika maandalizi ya show. Je, ni kweli kuwa ukipiga mchanganyiko huu show yako itakuwa ya muda mrefu asanteni sana nategemea majibu mazur katika kujifunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom