Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
babkaju3,
Inaweza kua kweli ila sasa kuhusu kutumia kitunguu swaumu sikushauri kwa maana kina harufu kali sana mdomoni yaani hata upige mswaki kitu hakiishi.
Nakushauri tumia mchanganyiko huu
Maziwa fresh (yachemshwe), tende na asali.
Hivyo vitu vichanganye kwa pamoja kisha saga kwenye blenda iwe juice safi kabisa.
Usiku kabla ya kulala piga glass moja tu, kisha subiri baada ya saa moja ingia kazini.
Usisahau kuleta mrejesho.
Kumbuka tende uzitoe mbegu kwanza, pia katika maziwa ya glass moja uweka tende 20-30 zinatosha sana na asali hata vijiko 2-3.
Kazi yake sio ya kitoto.
Angalizo; angalia usije kumkomoa mkeo kama unajua yeye ni mvivu.