Faida za vitunguu saumu kwa wanaume na jinsi ya kutumia

Faida za vitunguu saumu kwa wanaume na jinsi ya kutumia

😀.

Kiongozi...

Suala la hatimiliki nitalifanyia Kazi...

Hiyo aina Msimu wa Masika, Vuli, wala Kiangazi...

Wahenga walikuwepo, wapo, na watakuwepo kila Kizazi...

Tunaendana na Zama kama ilivyokuwa Guta na sasa Bajaji...

Ukilazimisha pasipoingilika utakwenda na Maji...

Ni msemo tu, na wala si Mauaji...

Kama ilivyo Biashara kianzio chaitwa Mtaji...

Hizi sio Tenzi bali nimejisikia Mdadi wingi wake Midadi...

Ni mzuka tu wingi wake mizuka haihitaji namba wala Idadi...
Asenteeee baba
 
Hivi karibuni kumekuwapo na tatizo la wanaume wengi kuwahi kufika kileleni, huku kitendo hicho kikichangawa na sababu mbalimbali ikiwamo mawazo na sababu nyinginezo. Ikiwa wewe una tatizo la kuwahi kufika kileleni basi inasadikika ya kwamba kitunguu swaumu ni tiba tosha.

Sifa kuu zinazokifanya kitunguu swaumu kuwa na uwezo na faida nyingi mwilini ni kule kuwa kwake na viasili kadhaa (ingredients) ambavyo vinafanya kazi tofauti tofauti. Uwezo wake wa kiutendaji unatokana na sifa zifuatazo:

Vina uwezo wa kusababisha kutanuka kwa mishipa ya damu (vasodilation) kwa kubadilisha polysulfides zilizopo ndani yake kuwa hydrogen sulfides kwenye seli nyekundu za damu.

Husaidia uthibiti wa kiwango cha sukari mwilini kwa kushusha kiwango cha kemikali ya homocystine na hivyo kupunguza madhara ya kisukari.

Ukivikata vipande vidogo vidogo hivi (chop), vitunguu swaumu hutoa kemikali iitwayo kwa kitaalamu kama ‘Allicin’ ambayo ni dawa dhidi ya bakteria, na ‘Phytoncide’ ambayo huua fangasi mbalimbali mwilini.

1. Chukuwa kitunguu swaumu kimoja. Kigawanyishe katika punje punje
2. Chukua punje 6
3. Menya punje moja baada ya nyingine.
4. Kisha vikatekate (chop) vipande vidogo vidogo sana na kisu na uache hivyo katika hewa kwa dakika 10

Baada ya hapo meza kama unavyomeza dawa na maji nusu lita kila unapoenda kulala. Namna nyingine nzuri zaidi ni kuviweka ndani ya kikombe kimoja (robo lita) cha mtindi freshi koroga vizuri na unywe na hii itakusaidia kupunguza harufu mbaya ya kitunguu swaumu huku ukipata faida nyingine mhimu zilizomo kwenye mtindi.

Muungwana Blog
 
Kwanini nyuzi nyingi za njia za kutatua tatizo la nguvu za kiume zinaletwa na wanawake /wadada wa Jf. Naomba kufahamishwa juu ya hilo.


#naenda_zimbabwe
 
Wanaume wa Dar huu uz unawahusu maana hata tabia zenu ni za kike kike sana

Mara muonapo watu mnaanza

Jomoniiiii

Waoooooo

My goshiiiii

Iv kweli kwa akili tu ndogo mtoto wa kiume unaweza tamka maneno kama haya
Mkuu naongezea apo, akituma text kwa man mwenzake anamuita My, Wangu, na maneno mengine kama, Nesheeedah, Veepeee? Mwanaume kutumia haya maneno sio kabisa, inaboa kinoma 🙁🙁🙁🙁
 
Back
Top Bottom