Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume wa wapi ww!Mtindi fresh!!!
Hapo sijapaelewa
Dodoma mixer Mbeya. Wewe jambazi la dar au!?Mwanaume wa wapi ww!
Vipi lakini ukiwa unapiga show wazungu wanawahi kuja au wanachelewa?Nimekuwa na tabia ya kutafuna na kumeza kitunguu saumu kabla ya kupanda kitandani kulala kila siku, kwa ajili ya kupunguza uwezekano wa kupata HBP!
Kiukweli sijawahi kufikiria hata siku moja kama huwa inasaidia nguvu za kiume!