Faida za vitunguu saumu kwa wanaume na jinsi ya kutumia

Faida za vitunguu saumu kwa wanaume na jinsi ya kutumia

Fuqin,

Mkuu achana nao hao, Jaribu iyo kitu halafu uje utupe mrejesho.
Mimi nimewahi tumia kitunguu kwenye maeneo yenye fangas na nilipata matokeo mazuri, ile kwenye uume sijawahi. Napia lniliwahi sikia kua kinawekwa kwenye tundu la haja kubwa kwa wale wenye bawasiri.

Jaribu mkuu tunasubiri mrejesho.
 
Yah inaweza function vizuri sana hasa kuua bacteria waliopo ukeni na kuondoa kale kaarufu Fulani ivi.
 
Fuqin,
Mkuu sijaelewa yani unaomba ushauri au nivipii!! mana inavoonekana hapa ni kama vile kuna mtu amekushauri kufanya hio kitu au umewaza unotaka kufanya

ebu changanua kwanza!!!
 
FAIDA ZA KITUNGUU SAUMU KWA MWANAUME NA JINSI YA KUTUMIA

Kitunguu saumu kina allicin, kiambato kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye uume ni sababu kubwa ya kuongeza stamina ya kufanya mapenzi.

Sifa kuu za kitunguu saumu zinazokifanya kuwa na uwezo na faida nyingi mwilini ni kuwa na viasili kadhaa ambavyo vina uwezo tofauti tofauti.

Baadhi ya viasili hivi husaidia kutanuka kwa mishipa ya damu (vasodilation kwa lugha ya kiingereza) kwa kubadilisha polysulphides zilizo ndani yake kuwa hydrogen sulphides kwenye seli nyekundu za damu.

Pia, kitunguu saumu husaidia kuthibiti kiwango cha kemikali iitwayo homocystine mwilini na hivyo kupunguza madhara ya kisukari. Kitunguu saumu kina allicin , kiambato ambacho husaidia mwili kuwa na mzinguko mzuri wa damu hadi kwenye viungo vya uzazi.

Kuwa na damu ya kutosha katika uume husababisha hiki kiungo kusimama na hivyo kustaimili tendo la ndoa kwa muda mrefu.

Namna ya kutumia kitunguu swaumu:

1. Chukuwa kitunguu swaumu kimoja
2. Kigawanyishe katika punje punje
3. Chukua punje 6
4. Menya punje moja baada ya nyingine
5. Kisha vikatekate (chop) vipande vidogo vidogo sana na kisu na uache hivyo katika hewa kwa dakika 10

6. Meza kama unavyomeza dawa na maji nusu lita kila unapoenda kulala. Namna nyingine nzuri zaidi ni kuviweka ndani ya kikombe kimoja (robo lita) cha mtindi freshi koroga vizuri na unywe na hii itakusaidia kupunguza harufu mbaya ya kitunguu swaumu huku ukipata faida nyingine mhimu zilizomo kwenye mtindi.

Fanya hivi kila baada ya siku 1 unapoenda kulala kwa wiki 3 mpaka 4.

Unaweza pia kuendelea kukitumia hata kama umepona tatizo lako. Ukiona kichwa kizito au kinauma pumzika kutumia kitunguu swaumu kwa siku 3 hivi kisha endelea tena, muhimu usitumie kila siku bali ni kila baada ya siku 1.

Usisahau kufanya mazoezi kegel.
 
Safi Sana ndugu, nakuunga mkono kwa asilimia mingi sana kwa kuwa nimekifatilia sana kitunguu swaumu na uwa nakitumia sana hata napopata magonjwa madogo madogo haya kama tumbo na mengineyo.

Lakini njia nayotumia mimi ni kula kitunguu swaumu na kunywa maji mengi sana zaidi ya Lita mbili kwa kuwa napenda sana kufanya mazoezi.

So really garlic is best
 
Miili yetu iko tofauti sana. Huyu anaweza akatumia vitu vibaya vikamdhuru sana lakini mwingine akatumia hivyo hivyo na wala visimletee shida. Cha muhimu zingatia mtindo mzuri wa kuishi kadri inavyowezekana kulingana na uelewa wako utakuwa sawa.

Mfano kwa matatizo ya nguvu za kiume kati ya watu niliowahudimia ni chini ya 10% ambao walipona kwa dawa wengine wote ushauri kidogo, chakula na mazoezi yamewasaidia hadi leo.
 
Back
Top Bottom