FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
-
- #2,181
1. AlhamduliLlah njia ipo tayari wala sikuitafuta wala sikuichagua. Majibu ya maswali yako yanapatikana unapoanza tu kuisoma Qur'an, jisomee:FaizaFoxy umejitahidi kujibu. HATA Walivyokuja waislamu wenzako ulijitahidi kujenga hoja.
Hongera sana.
Nilikua nakucheki tu.
UKO VIZURI.
Swali:-
1. Una amini pasi na shaka (hata tone) kua Njia uliochagua ni sahihi kabisa, ya kua utaiona Pepo?.Jibu.
2. Unamaanisha nini Unaposema "kumcha Mungu"?
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Qur'an 1:
1. KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
2. Sifa njema zote ni za Mwenyeezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote; 2
3. Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu; 3
4. Mwenye kumiliki siku ya malipo. 4
5. Wewe tu tunakuabudu, na wewe tu tunakuomba msaada. 5
6. Tuongoe njia iliyonyooka. 6
7. Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea. 7
2) Kuhusu "kucha Mungu", jibu lake:
Qur'an 2:
2. Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu, 2
3. Ambao huyaamini ya ghaibu na hushika Sala, na hutoa katika tuliyo wapa.3
4. Na ambao wanayaamini yaliyo teremshwa kwako, na yaliyo teremshwa kabla yako; na Akhera wana yakini nayo. 4
5. Hao wapo juu ya uwongofu utokao kwa Mola wao Mlezi, na hao ndio walio fanikiwa. 5