Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Umeshanipachika majina lukuki na kunihukumu kuwa si Muislam halafu unaniuliza kuhusu sala?

Hivi mafundisho hayo ndiyo ya sunna?
Ktk uislam kuna vitenguz vya uislamu sio nmekuhukum kasome izó nullifier..... Ok tuishie hapa me nlikushaur tu nakukupa nasiha...... Kwaajili ya Allah ila umekuwa na kibr ok May Allah guide u to islam and give u and us a beneficial knowledge and let not us dying except in the state of islam.... Ameen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kafir wa kwanza katika dunia hii ni Muhammad...nimelieleza hilo mara nyingi tu, unataka kujua sababu?

Ungekuwa umemwandikia yeye ungeandika via PM.
Uzi wake huu, andika wako na wewe nikujie Pm, متكو يكو

Jamii Forums mobile app
 
Ameongelea masala ya dini ndo mana nimemuuliza na kumrekebisha coz tumekatazwa kuzungumza bila elimu...

"na wala usipite kusema usiyo na elimu nayo,hakika ya moyo..macho na ulimi vitaulizwa siku ya kiyama"(surat bani Israel)

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe unaongelea nini hapa kama si dini? Utaepuka vipi kuongelea dini wakati unaishi kwa kufuata dini?

Elimu na dini ni kama chanda na pete, haviachani.

Halafu wewe sikushangai, unatumia neno "sunna" kufanya biashara zako.

Wacha hizo.
 
FaizaFoxy nakuongezea swali

UMESEMA NDOA YA KWANZA NI KATI YA ADAMU NA HAWA.. NI DHAHIRI KUWA MWENYEZI MUNGU ALIMPA ADAMU MKE MMOJA

1. SASA KWANINI NYIE WAISLAM NA MTUME MMEJIPA RUHUSA YA KUOA WAKE HADI WANNE?
Kwanza kabisa napenda ufahamu ya kuwa Muislam anaefata mafundisho ya Uislam hawezi "kujipa ruhusa" nje ya mafundisho ya Uislam.

Kuhusu kuoana napenda ufahamu kuwa hakuna kitabu chochote cha dini kilichotaja mke "mmoja tu" nje ya Qur'an. Ni Qur'an pekee iliyoweka sharti la mke "mmoja tu", jisomee:

Qur'an 4:3
Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki. Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana.
 
Ktk uislam kuna vitenguz vya uislamu sio nmekuhukum kasome izó nullifier..... Ok tuishie hapa me nlikushaur tu nakukupa nasiha...... Kwaajili ya Allah ila umekuwa na kibr ok May Allah guide u to islam and give u and us a beneficial knowledge and let not us dying except in the state of islam.... Ameen

Sent using Jamii Forums mobile app

Anza kwa kujitoa kwenye shirk. Kuzihusisha biashara zako za kuuza madawa na kuzifanya kuwa ni "sunna" na kumshirikisha Mtume kuwa ni partner wa Mwenyezi Mungu, hiyo ni shirk.

Hasamehewi mwenye kufanya shirk. Anza kwa kulifanyia hilo kazi kwani labda hujuwi tu kuwa upo kwenye shirk. Na Kiislam asiyejuwa husamehewa. Jisomee:

Qur'an 3:
18. Mwenyezi Mungu, na Malaika, na wenye ilimu, wameshuhudia kuwa hakika hapana mungu ila Yeye, ndiye Mwenye kusimamisha uadilifu; hapana mungu ila Yeye Mwenye nguvu na Mwenye hikima.

19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.
 
Mkuu mwenge unatusaidia nini?
Kwanini unaipenda ccm iliyoshindwa kuleta mabadiriko chanya yapata miaka arobaini sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app

= mabadiliko

Mwenge kwa mtazamo wangu naona hautusaidii chochote bali unatutia hasara nyingi tu, kuanzia za uchumi, kimaadili mpaka kidini. Binafsi sishiriki wala siioni sababu ya kukimbiza moto. Ni ibada ya kishetani.

CCM ni chama na chama ni watu.

Sijaona mbadala wa CCM wenye ahueni.

Mabadiliko chanya au hasi hayategemei chama.

Sielewi kwa mabadiliko chanya unamaanisha nini?
 
Mabadiliko chanya ni ktk nyanja za maendeleo ya wanainchi elimu bora yenye tija kwa wote fulsa za kimaendeleo bila kubaguanakubaguana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabadiliko chanya ni ktk nyanja za maendeleo ya wanainchi elimu bora yenye tija kwa wote fulsa za kimaendeleo bila kubaguanakubaguana

Sent using Jamii Forums mobile app

= fursa

Elimu, si serikali si chama kinachoweza kukupa kwa matarajio yako. Inabidi ufanye bidii na jitihada binafsi kuipata elimu utakayo. Halikadhalika kwa maendeleo.
 
Umeshindwa kujibu swali umeanza kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
kuna aina 3 za kujibu swali
1.swali kwa swali
2.swali kwa maelezo
3.swali kwa mkato

[HASHTAG]#mtarithisha[/HASHTAG] kizazi chenu mpaka ukamilifu wa dahari kwamba mnaonewa!
 
FaizaFoxy kwanini Mungu alimpa mke mmoja adamu ila nyie quran yenu mnahimiza wawili, watatu, wanne.. Halafu yule wa mmoja anaonekana 'aliyeshndwa' kabisa...

Halafu ukisema hakuna kitabu kilichotaja mke mmoja unazingua.. Mana kwenye biblia kuna 'mke' na siyo 'wake'
 
Yanini unaandikia mate na wino upo? Weka hiyo aya ya Biblia.

Wake wanne ni suluhisho la matatizo (solution) si tatizo (problem), jisikilizie:

kuna aina 3 za kujibu swali
1.swali kwa swali
2.swali kwa maelezo
3.swali kwa mkato

[HASHTAG]#mtarithisha[/HASHTAG] kizazi chenu mpaka ukamilifu wa dahari kwamba mnaonewa!
Umesahau namba 4, kutokuwa na jibu la swali na kutokiri kuwa huna jibu.

Kama ilivyokukumba wewe.
 
Uzi wake huu, andika wako na wewe nikujie Pm, متكو يكو

Jamii Forums mobile app
Mmh! Hii Hatari sheikh...
Mat...k.. yake yamefanyaje tena?
[emoji3][emoji8]

Think Wisely Before Posting a Comment,.. You're being watched!
 
Kama nataka kukukumbatia, nitakupata wapi? Nitumie namba yako kupitia PM tafadhali.

Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
 
Back
Top Bottom