Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,371
- 2,834
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] Ofisi gani? Inaitwaje?Ninafanya kazi ofisini kwangu.
Hilo la umri naona ni swali la kibaguzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] Ofisi gani? Inaitwaje?Ninafanya kazi ofisini kwangu.
Hilo la umri naona ni swali la kibaguzi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] Ofisi gani? Inaitwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uislam halisi ndio huwa wa sunna za Mtume unazokataa.Watakujibu watu wa "sunna".
Binafsi salat zilizoainishwa kwenye Qur'an zinanitosha.
Bi faiza shikamoo/za muda huu/ haujambo?
Acha na mimi nikuulize.
Hivi ndoa ya kwanza Tangu kuumbwa kwa ulimwengu ilikuwa ya nani na nani? Ilizingatia vigezo gani?
Iliitwa ndoa au kuna hili jina limekuja kutumiwa leo?
(Chimbuko la ndoa)
Mna maana gani kutuandikia kiarabu?جزاكا الله الحير
Jamii Forums mobile app
= جزاك اللهُ خيرًا
Ooouh, ubarikiwe.Katika Uislam tunaamini Adam ni mtu wa kwanza na wote tuliobaki tunaitwa binaadam (bin Adam) kwa kuwa tumetokana na kizazi cha Adam.
Kuoana (to become a pair) au kwa Kiarabu "zawaj" (pair) kulianzia kwa Adam na Hawa pale Allah alipoamua kumpatia Adam "pair" yake.
Qur'an 4:1
Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni kutokana na nafsi moja, na akamuumba mkewe kutoka nafsi ile ile. Na akaeneza kutokana na wawili hao wanaume na wanawake wengi. Na tahadharini na Mwenyezi Mungu ambaye kwaye mnaombana, na jamaa zenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaangalieni.
Qur'an 2:35
Na tulisema: Ewe Adam! Kaa wewe na mkeo katika Bustani, na kuleni humo maridhawa popote mpendapo, lakini msiukaribie mti huu tu; mkawa katika wale walio dhulumu.
Qur'an 6:19Uislam halisi ndio huwa wa sunna za Mtume unazokataa.
Answaar sunni are really muslim
Ni bora BALUKTA ipate nguvu kuliko ninyi wa BAKWATA bin CCM
Wabillah Tawfiq,
Umesahau mfumo wa kielimu uliokuwa unawabagua waislam? Usijifanye kipofu. Mwislam akiteuliwa kushika nyadhifa serikalini mnapiga kelele kuwa kapendelewa au kateuliwa kwa udini....ila mkristo akiteuliwa mnasema kateuliwa kwa sababu ya qualification zake. Kwani huyo mwislam kasoma shule gani mpaka msizione qualifications zake?mnakimbia shule then mnasingizia mfumo#stupid
Naona malalamiko tu.....hoja hamna!Nakushaur acha kuongelea masala ya dini na ilhal huna elimu ya dini yan n kucopy na kupaste tu.... Io aya ulioitoa sharh yake umeisoma wap na kaifanya nan..... Pili in islamic education kuna somo laitwa sababun nnudhur(sabb ya kuteremshwa aya) je wajua sabb ya kuteremshwa aya hii??? So u lying against Allah and hope u dont know its Kufr......... Jibu maswal mengne yako personal.. Bt our deen is free from your ignorance..... But by za way... Wat is the meaning of terrorism and who is terrorism according to islam??? Are they defending their deen,blood,children,and their honour,are terrorist according to your brain washed corrupted Western mind?????????
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka rahaa chagua A.
Oh now nimekupata... Wew n ktk makund potofu linalojiita quraniyun wanaokataa hadith za mtume bila shaka umeshakufuru na s muislamuUsizuwue. Hadithi si za Mtume. Hadithi uhadithie wewe umsingizie Mtume? Mtume kapewa Qur'an na Qur'an haikuwacha kitu.
Qur'an 6:38
Na hakuna mnyama katika ardhi wala ndege arukaye kwa mbawa zake, ila ni umma kama nyinyi. Hatukupuuza Kitabuni kitu chochote. Kisha watakusanywa kwa Mola Wao.
Niliemuandikia ameelewa, sasa wewe lugha yetu makafiri kwani lazima uijue?Mna maana gani kutuandikia kiarabu?
1) Umenihukumu pasi na ushahidi. Sina chuki na binaadam yoyote yule.1. faiza foxy maandishi yako meng yanaonesha unawachukia wakristo, kwani walikufanya nin? Au dini ya uislam unawahimiza kuwachukia wasio waislam?
2. Unadhani uislam utakufikisha peponi? Kivipi?
3. Kuna uhusiano gan wa uganga wa jadi na quran?
4. Inasemekana hukuwahi kupata elimu rasmi ya dunia (formal educatiön) uliishia madrasa, ni kweli?
Ameongelea masala ya dini ndo mana nimemuuliza na kumrekebisha coz tumekatazwa kuzungumza bila elimu...
Oh now nimekupata... Wew n ktk makund potofu linalojiita quraniyun wanaokataa hadith za mtume bila shaka umeshakufuru na s muislamu
..sabb miongon mwa vitenguz vya uislamu n kuchukia yale alokuja nayo mtume kama hivi hadith..... Ila nataka nkuulize...... Allah ktk quran anasema tusimamishe swala... Wala hakuelekeza io swala iswaliwe vp.... Swal langu umejuaje ka swala ya adhuhur ina rakaa nne na inaswaliwaje... Na subuh na ishaa je ikiwa una kataa hadith... Kuswal umejuaje ispokuwa mafundsho ya mtume ktk hadith?
Sent using Jamii Forums mobile app