Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faiza nimekufatilia kwa muda mrefu nakuona wewe kama mwathilika wa udini .. Sijui kama unalitambua hilo?

Naomba unipe maelezo ya kina plz

Sent using Jamii Forums mobile app
mwathilika = mwathirika

Kwanza sielewi maana ya maneno "mwathirika wa udini". Nakuomba wewe unipe maelezo na utufafanulie maana ya hayo maneno yako ili tupate kukujibu. Naamini kuna wengi hawajakuelewa kama mimi.
 
mwathilika = mwathirika

Kwanza sielewi maana ya maneno "mwathirika wa udini". Nakuomba wewe unipe maelezo na utufafanulie maana ya hayo maneno yako ili tupate kukujibu. Naamini kuna wengi hawajakuelewa kama mimi.
Mwathirika wa kidini naomanisha ni kutumia muda mwingi kujitanabaisha kwa kuweka upendeleo wa kidini hasa pale habari inapotokeza ikiwa imeegemea upande wa kiislamu. Kwa mfano yule Dada wa Somalia aliyepata nafasi ya uwakilishi katika Congress ya marekani unamuelezea kama mwislamu aliyepata nafasi katika cheo hicho na sio kwa namuna nyingine nahisi kunamengine mengi yafananayo nimekuwa nikikufatilia mienendo zako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwanza ulisema "mwathirika wa udini". Sasa umebadili unasema "mwathirika wa kidini"!

Nnauhakika huelewi unachotaka kukisema. Fikiri.

Huyo unayemtaja anaitwa Ilhan Omar. Sasa rudi kwenye ule uzi unambie kipi changu ambacho vyanzo vya ile habari haikuvisema. Ukishindwa, ujuwe huna hoja bali hofu tu inakujaa unapotajwa Uislam au Muislam.
 
nionyeshe sehemu ilipoandikwa uislam ni kujisalimisha na unyenyekevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…