FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #2,861
Ahha huyu mama bwana.
Huyo aliwahi kuniambia hakubali hadithi,kuna kipindi akasema tena hadithi anayokubali yeye inayomuingia akilini.
Sasa hapa nimemuuliza anarukaruka mithili ya mkanyaga makaa ya moto huko nyayoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siwajibu itawajibu Qur'an...Hiyo kauli anapenda kuirudia rudia wakati inampelekea kwenye kufru. Huyu kwa maana hiyo kuna ibada atakuwa hazifanyi kisa tu hadithi haiingii akilini. Huyu mama ndio maana Allah akamnyima Elimu na Maarifa,.
وَمِنَ النَّاسِ مَن يَشْتَرِي لَهْوَ الْحَدِيثِ لِيُضِلَّ عَن سَبِيلِ اللَّهِ بِغَيْرِ عِلْمٍ وَيَتَّخِذَهَا هُزُوًا ۚ أُولَٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ مُّهِينٌ - 31:6
Mtafsiri hiyo Aya kama muwakweli.