Ahha huyu mama bwana.
Huyo aliwahi kuniambia hakubali hadithi,kuna kipindi akasema tena hadithi anayokubali yeye inayomuingia akilini.
Sasa hapa nimemuuliza anarukaruka mithili ya mkanyaga makaa ya moto huko nyayoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siwajibu itawajibu Qur'an...Hiyo kauli anapenda kuirudia rudia wakati inampelekea kwenye kufru. Huyu kwa maana hiyo kuna ibada atakuwa hazifanyi kisa tu hadithi haiingii akilini. Huyu mama ndio maana Allah akamnyima Elimu na Maarifa,.
Mama hapa hoja yetu ni nikah.Mimi siwajibu itawajibu Qur'an...
وَمِنَ النَّاسِ مَن يَشْتَرِي لَهْوَ الْحَدِيثِ لِيُضِلَّ عَن سَبِيلِ اللَّهِ بِغَيْرِ عِلْمٍ وَيَتَّخِذَهَا هُزُوًا ۚ أُولَٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ مُّهِينٌ - 31:6
Mtafsiri hiyo Aya kama muwakweli.
ومن الناس من يشتري لهو الحديث ليضل عن سبيل الله بغير علم ويتخذها هزوا أولئك لهم عذاب مهينMimi siwajibu itawajibu Qur'an...
وَمِنَ النَّاسِ مَن يَشْتَرِي لَهْوَ الْحَدِيثِ لِيُضِلَّ عَن سَبِيلِ اللَّهِ بِغَيْرِ عِلْمٍ وَيَتَّخِذَهَا هُزُوًا ۚ أُولَٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ مُّهِينٌ - 31:6
Mtafsiri hiyo Aya kama muwakweli.
Nilikuandikia juu hilo kwa Kiarabu Kwa kutumia harufu hizi za Kilatino lakini hukuelewa, si kitu, ntakupa darsa mpaka utaelewa na si kama ulivyoandika wewe ni "contract' kasome upya, Kiarabu ni "aqd" (عقد) na "aqd" ya ndoa ndiyo huitwa "nikah' au Kiswahili mkataba wa kuoana au pia neno "Nikah" Kiarabu nje ya Qur'an ni tafsida ya kujamiiana.Contact ndo nini ?
Mbona unatafsiri kwa lugha za kigeni kama ambavyo uliniambia mimi?
Tafsiri kiarabu kwa kiarabu usilete uzungu weye Alaa.mwanzo ulinambia oooh lugha unayotumia ya kigeni.
Sasa hivi na wewe umerudi kule kule tena,hii ni dhaahir unajimwambafai.
Mama angu kubaki kufunzwa utaenjoy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kajisomeni tena mliandika hoja ipi nikawajibu kwa hiyo Aya. Huwa sikisii.Mama hapa hoja yetu ni nikah.
Nimekuuliza hivi.
Neno kuowana tutalitia katika wazni upi kwa mujibu wa ilmu ya swarfu?
Kunakili aya sio kazi mama angu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unarudi kule kule ati aqdi ya ndoa huitwa nikah.nilikuambia tokea mwanzo.Nilikuamdikia juu hilo Kiarabu Kwa kittumuoa harufu hizi za Kilatino lakini hukuelewa, si kitu, ntakupa darsa mpaka utaelewa na si kama ulivyoandika wewe ni "contract' kasome upya, Kiarabu ni "aqd" (عقد) na "aqd" ya ndoa ndiyo huitwa "nikah' au Kiswahili mkataba wa kuoana au pia neno "Nikah" Kiarabu nje ya Qur'an ni tafsida ya kujamiiana.
Huwa sikisii, kumbuka hilo.
Jibu swali.Kajisomeni tena mliandika hoja ipi nikawajibu kwa hiyo Aya. Huwa sikisii.
Sasa mkuu tutamuonaje?Huwezi kupuuza vitu vya msingi kama hivyo vinavyojadiliwa na kila mtu asiye wa imani yenu iwe mitandaoni ama mitaani Tanzania na hata huku abroad.
ومن الناس من يشتري لهو الحديث ليضل عن سبيل الله بغير علم ويتخذها هزوا أولئك لهم عذاب مهين
[ LUQMAN - 6 ]
Na miongoni mwa watu wapo wanao nunua maneno ya upuuzi, ili wawapoteze watu na njia ya Mwenyezi Mungu pasipo kujua, na wanaichukulia ni maskhara. Hao watapata adhabu ya kuwafedhehesha.
Ila sitaki uniamini kamanmkweli ama Muongo.
Ninachotaka uniambie.
Wazni wa neno kuoana ni upi kwa mujibu wa elimu ya swarfu?
Sema hujui au hutaki usitafute vichochoro visivyo na sababu mama angu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwaambia juu nimeanza, tuandike Kiarabu mbona hamjajibu?Jibu swali.
Neno kuowana kwa kiarabu tunalitia katika wazni gani?
Kumbuka hapa tunajadili kiarabu so usitake kuhukumu kiarabu kwa kutumia kiswahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Darsa analopewa hapa unafikiri ana hamu ya kujibu? Hana.Huwezi kupuuza vitu vya msingi kama hivyo vinavyojadiliwa na kila mtu asiye wa imani yenu iwe mitandaoni ama mitaani Tanzania na hata huku abroad.
Neno hadithi ni kama maneno kwa kiswahili.Ahsante sana.
Neno "hadith" الحديث la Kiarabu kwenye hiyo Aya hapo umelitafsiri vipi? Vipi neno "hadith" ulitafsiri hivyo na kwengine ulitumie vile vile kama lilivyo Kiarabu? Na bado, utaelewa tu. Soma na tafsiri na hii...
اللَّهُ نَزَّلَ أَحْسَنَ الْحَدِيثِ كِتَابًا مُّتَشَابِهًا مَّثَانِيَ تَقْشَعِرُّ مِنْهُ جُلُودُ الَّذِينَ يَخْشَوْنَ رَبَّهُمْ ثُمَّ تَلِينُ جُلُودُهُمْ وَقُلُوبُهُمْ إِلَىٰ ذِكْرِ اللَّهِ ۚ ذَٰلِكَ هُدَى اللَّهِ يَهْدِي بِهِ مَن يَشَاءُ ۚ وَمَن يُضْلِلِ اللَّهُ فَمَا لَهُ مِنْ هَادٍ - 39:23
Mkuu anadhani watu wanabishana kugha hapa.
Watu wanajadili sheria ya lugha.
Acha aende google kusearch huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna muda anatuaibisha sana sisi Waislamu kwa ujumla.
Wewe siye uliyeandika haya...Neno hadithi ni kama maneno kwa kiswahili.
Hilo ni neno na sio kitendo
Kuna kitendo na jina.
Mimi nazungumzia kitendo "ankaha" "yankihu" "tunkahu"
Usinitoe kwenye maana,unaleta jina mimi nazungumzia kitendo.
Naendelea kukuuliza.wazni wa neno kuowana kwa kiarabu unauletaje?
Utakopi aya mpaka uzimalize hapa ila swali ni lile lile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli usemayo.
Alafu sheria hutangulizwa kuliko lugha.
Hadithi wazi mtume kasema "mwanamke huolewa kwa mambo manne"
Tena hadithi imeaema تنكح kwa وزن (wazni) wa تفعل )tuf'alu) kwa maana mfanywaji.
Kwa hyo tunkahu manake mwanamke ndo huolewa kwa mambo manne.
Ila okey mama angu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu swala mama.safuher na Zurri
Darsa linaendelea. Sasa someni Kiarabu, .kisha mtafsiri kama mnaweza, hapo bado sijaingia kwa Qurtubi, ntawachanganya. Soma...
نكاحHaya vijana. Hiyo ndiyo Nikah ya Kiislam imefafanuliwa kwa Kiarabu.
يتم توقيع عقد الزواج في حفل نكاح يقترح فيه العريس أو ممثله على العروس أمام شاهدين على الأقل مع ذكر تفاصيل المهر. يظهر العريس والعروس إرادتهم الحرة بتكرار كلمة qabul ("أقبل" بالعربية) ثلاث مرات. ثم يوقع الزوجان والشاهدان على العقد مما يجعل الزواج قانونيًا وفقًا للقانون المدني والديني. باتباع العادات الإسلامية التقليدية يمكن للعروس والعريس مشاركة قطعة من الفاكهة الحلوة مثل التاريخ. إذا تم فصل الرجال والنساء عن الحفل دعا ممثل من الذكور دعا الوالي بالنيابة عن العروس خلال النقاه
Bado hamjaelewa? Kama bado, semeni nini ambacho hamjaelewa hapo?
Jibu swali.Wewe siye uliyeandika haya...
Sasa unabadili kauli? Kama hadith Kwa tafsiri yako ni "maneno" hapo ulipotumia hilo neno "hadith" ulikusudia nini?
Na nikakuuliza hadith ya nani hiyo ukashindwa kujibu na nikakuwekea mstari wa Kiarabu wa mwanzo kabisa katika bandiko lako la kuileta hiyo hadith Kiarabu ukasema huwezi kulitafsiri. Umesahau?
Huwa sikisii kijana.
Hilo la "swarf" sijui "wazn" nimekujibu zamaaani sana, sema labda jibu langu hukulipenda tu.
Kijana, bado wewe Una safari ndefu sana ya kwenda na kukiri kuwa hujuwi ni nusu ya kujuwa kwani utajifunza. Lakini unapojidai unajuwa na kumbe vingine vingi sana bado huvijuwi basi elewa utabaki hivyo hivyo kubishana kijinga.
Hicho unachokiita "kitendo" unakifanya peke yako? Fikiri.
PoaWewe nae andika vizuri. "kugha" ndiyo nini?
Halafu wewe una kauli ya kusema mbele yangu?Uliingia mitini uzi huu huu ukajidai utaleta Aya mpaka ukabadili na ID hujaleta Aya. Unafikiri nimesahau? Iko wapi Aya ya adhabu ya kaburi uliyoiidai "zipo nyingi" mbona mpaka leo kimyaaaaaa. Ulikuwa huijuwi Google? Sasa umeijuwa Google nenda basi ka search ulete aya uliyoahidi, bado nasubiri.
Hapo sasa!
Na ntaendelea kuwaibisha sana mpaka mtapokuwa mnatoa majibu sahihi na si ya kukisia kisia.