Sikujibu huwa upuuzi wako mwengine, mimi ntakupa darsa tu mpaka likuingie.
Wewe Ilm (elimu) yenyewe finyu utazijuwa hadith za mtume?
Hebu weka hiyo hadith ya Mtume hapa kama u mkweli.
Juu huko ulishindwa kujibu umesahau?
Sasa Anza kupata darsa kuhusu uzushi wako...
Qur'an inaelezea wazi wazi kuwa maadui wa Mtume mashetani wa kibinadamu na majinni, mtatunga ""maneno ya kupamba pamba na kumsingizia mtume.
Jisome...
Qur'an 6:112
112. Na kadhaalika tumemfanyia kila Nabii maadui mashet'ani wa kiwatu, na kijini, wakifundishana wao kwa wao maneno ya kupamba-pamba, kwa udanganyifu. Na angeli penda Mola wako Mlezi wasingeli fanya hayo. Basi waache na wanayo yazua. 112
Sasa nifikirie baada yankusoma hiyo Aya Nani mwenye kukufuru wewe unaemzulia Mtume au nnaeifata Qur'an?
Hadith kama yako sema yake tu, kama ya Abu Huraira sema ya Abu Huraira tu, usimzushie kuwa ni ya Mtume.
Kumbuka, huwa sikisii.