Sasa na wewe unaanza kunitukana binafsi.Akijibu kwa ushahidi mkuu namtafutia mume mana nahisi hana mume huyu bibi kwa ujuha wake huu mume gani atakaa na kijeba huyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hamna namna.
Huyu mama ni mchafu wa itikadi mana hakuns namna ingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo la "kikao cha mwisho" umelizuwa wapi tena? Mbona hueleweki wewe, unakula mirungi?Mama kuwa muelewa.
Aya ipi inakuruhusu na kukuambia wewe kuwa kwenye kikao cha mwisho soma kitu hiki na hiki.toa aya
Wewe kama unategemea aya inatakiwa utoe ushahidi wa uhakika na sio ushahidi kama wa wasiokuwa waislamu wanapotaka kuuchafua uislamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiisoma vizuri utaelewa kuwa ame "cite" Ayat za Qur'an pekee na haihitaji scholar Qur'an.Hii huja quote amesema nani na ni makubaliano ya scholars wepi?
Nikuulize wewe unaesema tunkahu ni kuowana.Sasa na wewe unaanza kunitukana binafsi.
Ndiyo wasomi wa Kiislam nyinyi? Mnaposhindwa hoja mnaanza matusi na uongo.
Neno "kuowana" ni nini Kiarabu chake?
Nimeshakujibu mpaka Kiarabu.Nikuulize wewe unaesema tunkahu ni kuowana.
Nimekuuliza tokea zamani nipe wazni wa neno kuowana kwa kiarabu.
Huo waznu(wazni)hujanipa alafu unanigeuzia swali mimi tena mbona maajabu haya.
Kama hujui sema hujui kejeli hazina nafasi na majigambo.
Nipe wazni wa neno kuowana kwa mujibu wa ffani ya swarfu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshakujibu mpaka Kiarabu.
Nimeshakufundisha mpaka ni nini "mizan" lakini huelewi au hujapenda majibu yangu?
Unataka mizan kwani tunatunga mashairi hapa?
Huwezi na hautoweza kuoa. Haiji.
Mnalitumia tu hilo neno kwa ajili "ego" (غرور) kudhoofisha (تقويض) wanawake.
Neno sahihi ni kuoana, Na Kiarabu ni "زواج". "Nikah" ni mkataba wa ndoa. Au nje ya Qur'an maana yake ni kujamiiana.
Haya tunga mashairi au wimbo utafute "mizan" kwa hayo maneno.
Sikujibu huwa upuuzi wako mwengine, mimi ntakupa darsa tu mpaka likuingie.Hivi na wewe mama mpinga hadithi za mtume unajigamba muislamu humu?
Ajabu sana hii dunia.
Si bora wakristo wanaokubali kuwa mtume alimuoa binti wa miaka 9 kuliko wewe unaeekataa maneno ya mtume.
Si bora wakristo wanaokubali hadithi za mtume zinazoonesha kuwa mzinifu wa ndoa kuoigwa mawe kuliko wewe unaepinga alafu unajidai muislamu?
Si bora wapagani wanaoamini kuwa mtume wa waislamu kasema mwizi anakatwa kiganja cha mkono kuliko wewe unaejinadi muislamu alafu unapinga hizi hukmu na kuzikataa hadithi.
Wasiokuwa waislamu na wapagani wanayakubsli maandiko ya Mtume pasi na kuyaamini.
Wewe unayakataa na hauyaamini.
.wewe unajipendekeza sana kwenye uislamu ila haufananii kabisa.
Bora mkristo anaelewa kuliko wewe unaejifanya muislamu alafu unakataa hadithi.
Mkristo kwangu wa maana kuliko wewe unaejidai muislamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe wala huyo punguani mwengine uliyemjibu hamuelewi mnachokiongea. Soma post namba 2959 juu hapo, labda utajifunza kitu.anapinga kusudi maana anajua, akizikubali moto hawezi kuuzima kutokea hadithini kuna makorokocho mengi ambayo njia pekee ya kuyakwepa ni kuzikana kiwaziwazi na kuzikubali kimoyomoyo.
kumbe huwa huskii.Wewe wala huyo punguani mwengine uliyemjibu hamuelewi mnachokiongea. Soma post namba 2959 juu hapo, labda utajifunza kitu.
Hata hyo mizani hujui.Sikujibu huwa upuuzi wako mwengine, mimi ntakupa darsa tu mpaka likuingie.
Wewe Ilm (elimu) yenyewe finyu utazijuwa hadith za mtume?
Hebu weka hiyo hadith ya Mtume hapa kama u mkweli.
Juu huko ulishindwa kujibu umesahau?
Sasa Anza kupata darsa kuhusu uzushi wako...
Qur'an inaelezea wazi wazi kuwa maadui wa Mtume mashetani wa kibinadamu na majinni, mtatunga ""maneno ya kupamba pamba na kumsingizia mtume.
Jisome...
Qur'an 6:112
112. Na kadhaalika tumemfanyia kila Nabii maadui mashet'ani wa kiwatu, na kijini, wakifundishana wao kwa wao maneno ya kupamba-pamba, kwa udanganyifu. Na angeli penda Mola wako Mlezi wasingeli fanya hayo. Basi waache na wanayo yazua. 112
Sasa nifikirie baada yankusoma hiyo Aya Nani mwenye kukufuru wewe unaemzulia Mtume au nnaeifata Qur'an?
Hadith kama yako sema yake tu, kama ya Abu Huraira sema ya Abu Huraira tu, usimzushie kuwa ni ya Mtume.
Kumbuka, huwa sikisii.
Huna elimu wewe.Hata hyo mizani hujui.
Nimekuambia nipe wazni wa neno kuowana.
Au hujui wazni ni nini katika fani ya swarfu..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikujibu huwa upuuzi wako mwengine, mimi ntakupa darsa tu mpaka likuingie.
Wewe Ilm (elimu) yenyewe finyu utazijuwa hadith za mtume?
Hebu weka hiyo hadith ya Mtume hapa kama u mkweli.
Juu huko ulishindwa kujibu umesahau?
Sasa Anza kupata darsa kuhusu uzushi wako...
Qur'an inaelezea wazi wazi kuwa maadui wa Mtume mashetani wa kibinadamu na majinni, mtatunga ""maneno ya kupamba pamba na kumsingizia mtume.
Jisome...
Qur'an 6:112
112. Na kadhaalika tumemfanyia kila Nabii maadui mashet'ani wa kiwatu, na kijini, wakifundishana wao kwa wao maneno ya kupamba-pamba, kwa udanganyifu. Na angeli penda Mola wako Mlezi wasingeli fanya hayo. Basi waache na wanayo yazua. 112
Sasa nifikirie baada yankusoma hiyo Aya Nani mwenye kukufuru wewe unaemzulia Mtume au nnaeifata Qur'an?
Hadith kama yako sema yake tu, kama ya Abu Huraira sema ya Abu Huraira tu, usimzushie kuwa ni ya Mtume.
Kumbuka, huwa sikisii.
SawaLipulize tu kama na wewe una u pepo zaidi yake.
Huna elimu wewe.
Kuna mashairi unataka kutunga hata mizan?
Umekwepa la hadith zako kumsingizia Mtume eeh?
Bado nasubiri Aya za adhabu ya kaburi kutoka kwako na yule anayejiita Zurri.
Hamchomoki hapa mpaka muombe poo.
Unalo Hilo.