Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Tuwe kama somalia,chadi, Mauritania,Oman, bila mafuta nchi zote za kiarabu zingekuwa maskini sana

Punguza ujinga

USSR


Sasa hapa ntakujibu vizuri kuhusu hizo nchi, tuanze moja moja na tatizo lake unaloona wewe ni lipi? Maana naona umeweka majina tu ya nchi.
 
Sasa hapa ntakujibu vizuri kuhusu hizo nchi, tuanze moja moja na tatizo lake unaloona wewe ni lipi? Maana naona umeweka majina tu ya nchi.
USSR tuanze na Somalia, tatizo ni lipi Somalia?

Ninavyoelewa Somalia inayofata sharia ni ile iliyojitowa mwaka 1991 na kuanzisha serikali yake inayofata sharia nayo inaitwa Somaliland.

Nayo
toka imejitowa na Somalia ambako hakufati sharia imepiga hatuwa kubwa sana kimaendeleo na amani.

Jionee👇🏾



Linganisha hayo na nchi isiyokuwa na sharia.
 

Nimekuhamishia hapa tuujadili Uislam.

Haya leta swali lako kuhusu kinachokutatiza katika Uislam.
 
Ikiwa nina mke je wakati wa tendo la ndoa katika uislamu naruhusiwa kunyonya baadhi ya maeneo na pia kulamba maeneo flani
... Vipi kama ni msafi siwezi pata shida ya kiafya?
 
Mbona Afghanstani wanakwama na Katiba yao toka kwa mola?

Mimi naona Afghanistan ikikwamishwa kwa nguvu na mataifa ta nje.

Ni kana tunavyokwamishwa sisi na mataifa ya nje, tofauti ni kuwa sisi tumefanywa misukule ya mataifa ya nje, kila wanachosema tunakubali. Taliban wa Afghanistan wamelikataa hilo la kufanywa misukule.
 
Ikiwa nina mke je wakati wa tendo la ndoa katika uislamu naruhusiwa kunyonya baadhi ya maeneo na pia kulamba maeneo flani
... Vipi kama ni msafi siwezi pata shida ya kiafya?
Kuna uzi mzuri sana umefunguliwa hapa JF unaofundisha mambo mengi, mazuri na mabaya, kuhusu mahusiano ya mke na mume kwa mtazamo wa Muislam, upitie👇🏾

 
Mama FaizaFoxy je Mwanaume wa kiislamu, ndoa ya kwanza akioa ya kidini (Islam) ya pili anaweza funga Bomani? Na mwanamke wa dini nyingine? Na kama si sawa naomba ufafanuzi. Asante
 
Sharia ya kufirana siyo.

Tatizo hilo nalo pia lina ufumbuzi wake katika sharia. Wote wawili, mfiraji na mfirwaji wanahukumiwa pamoja.

Tanzania kwa sheria zetu, juzi tumeshuhudia kwenye vyombo vya habari anahukumiwa aliye lawitiwa tu, tatizo limebaki pale pale.

Mapungufu kama hayo yanaondolewa kwa kufata sharia.
 
Mama FaizaFoxy je Mwanaume wa kiislamu, ndoa ya kwanza akioa ya kidini (Islam) ya pili anaweza funga Bomani? Na mwanamke wa dini nyingine? Na kama si sawa naomba ufafanuzi. Asante
Mwanamme Muislam ameruhusiwa kuoa mpaka wake wanne ikiwa ataweza kufanya uadilifu.

Pia ameruhusiwa kuoa katika wakristo na Wayahudi wanaofata vitabu vyao, (ahli. L'kitaab) siyo kuoa Mkristo au Myahudi jina tu.

Kwa maana hiyo hata akioa mwanamke wa Kiislaam ni jukumu lake kuhakikisha mkewe anafata dini yake.

Na Allah ndiye mwenye kuelewa zaidi.
 
Sina swali lolote kwako ila ningependa tu kukwambia kuwa:

Uislam = Ubaguzi
Uislam = Udini
Uislam = Unyama
Uislam = Ugaidi
Uislam = Uongo
Uislam = Chuki

Mnajenga msikiti juu ya temple of david (temple mount) mnadanganya watu kuwa ni nyie ndio wa kwanza pale.

Mnailaumu Marekani na Uingereza kwa kila kitu ila kibaya ila ndio nchi za kwanza mnazokimbilia kutafuta maisha bora.

Wenyewe kwa wenyewe mnatengeneza makundi katika dini yenu alafu mnauana kwa kuona hao wenzenu hawana imani ya kweli.

Nchi yenu yenye sehemu utakatifu inanyima haki ya kuzungumza, wanawake na haki zao na dini nyingine.

Mnalaumu west kwa kuwabagua waislamu wakati nchi zenu mliwafukuza ambao si waislam na kuchoma nyumba za ibada zao.

Juzi hapa zanzibar mnaandamana kupinga kujengwa kaanisa.


Penda usipende, cha mtu ni cha mtu kwa hio utapinga haya ila tambua kuwa uislam ni tishio na cult hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…