Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Aiseee, hauja expire?
1679732265875.png
 
Tuwe kama somalia,chadi, Mauritania,Oman, bila mafuta nchi zote za kiarabu zingekuwa maskini sana

Punguza ujinga

USSR


Sasa hapa ntakujibu vizuri kuhusu hizo nchi, tuanze moja moja na tatizo lake unaloona wewe ni lipi? Maana naona umeweka majina tu ya nchi.
 
Sasa hapa ntakujibu vizuri kuhusu hizo nchi, tuanze moja moja na tatizo lake unaloona wewe ni lipi? Maana naona umeweka majina tu ya nchi.
USSR tuanze na Somalia, tatizo ni lipi Somalia?

Ninavyoelewa Somalia inayofata sharia ni ile iliyojitowa mwaka 1991 na kuanzisha serikali yake inayofata sharia nayo inaitwa Somaliland.

Nayo
toka imejitowa na Somalia ambako hakufati sharia imepiga hatuwa kubwa sana kimaendeleo na amani.

Jionee👇🏾




Linganisha hayo na nchi isiyokuwa na sharia.
 
Uislam ni uchafu ni bora asiusome ili awape heshima waislam ila akiusoma ataujua kuwa sio dini ile.. inaelekeza muslim wote wataenda motoni proof zote zipo tena kwenye koran yao na hadithi zao its total Shetwain religion. Tuheshimiane tu ila we are total defferent and Dini ile inamtaka Musilam akikutana na Myahudi au Mkristo basi muslim kabla hajapata salam kutoka watu wa kitabu anatakiwa kumsukuma kwenye bonde aanguke hata akifa mbali.. ni furaha ya Al lah..

Pia Kizazi cha watu weusi ndio kizazi anachokichukia Al lah na destiny ya mtu mweusi ni hell

Faida ya Uislam ni for all those who desire to have sex ndio kuna promise kama zote tena mabikira zaidi ya 70 and wanaambiwa wakiwa huko after death any wishi wakitaka wanapata ukitaka pombe, bange, mke wa rafiki yako ,dada yako,mother wako n,k dini gani hii

Nimekuhamishia hapa tuujadili Uislam.

Haya leta swali lako kuhusu kinachokutatiza katika Uislam.
 
General Knowledge.

Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo unataka upatiwe majibu.

Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu.

Hapa ni kwa ajili ya kuelimishana na kujuzana bila kikomo, iwe swali lolote liwalo.

Update 1:
Tafadhalini tuulize maswali kiheshima . Heshima ni kitu cha bure na hii JF yetu pendwa inasomwa na wengi, tujiheshimu.

Update 2:
Siku kadhaa zimepita toka tuanzishe uzi huu na nimesikitishwa na aina ya maswali yanayoulizwa kwenye huu uzi.

Tumetowa fursa ya kuulizana na kila niwezapo kujibu au kutafuta majibu muafaka kutokana na hayo maswali na fursa ya wachangiaji kujibu maswali yatakayojitokeza ya "general knowledge" lakini hadi hii leo ni maswali machache sana yenye faida kwa wengi yameulizwa. Maswali yaliyojaa ni amma ya kutaka kuanzisha ubishi "ligi" na amma yamelenga mtu binafsi, hususan amelengwa mleta mada. Ni masikitiko makubwa sana.

Nnawashauri wote waliouliza maswali yenye kulenga binafsi na wale waliouliza maswali yenye kubomoa badala ya kujenga wabadilike na waanze kuuliza maswali yenye kujenga, kuelimisha, kutujaza hekima na maarifa.

Nilipoweka aina ya elimu niliyoisomea nilidhani ntakumbana na kibano kikali kuhusu hilo na nijibu ili iwe faida kwa wengi lakini kwa bahati mbaya au nzuri hakuna hata mmoja aliyeuliza swali lolote kuhusu hilo.

Isitoshe, mna fursa ya kuuliza kuhusu chochote. Ndege, mimea, dunia, sayari, nyota, maajabu, maswali yasiyokuwa na majibu, viumbe kwa ujumla vinavyojulikana na visivyojulikana, maajabu ya duniani, elimu na vitu vingi kama hivyo na vinginevyo.

Nnauhakika wale walioleta maswali ya kiajabu ajabu ya ubishi wana mengi sana ya kuuliza yanayoweza kuwapa faida wengi na kuna wengi kati yao wana mengi wanayajuwa na wanaweza kuchangia kwenye majibu kwa faida ya wengi.

Ombi langu kwa wote ni tuboreshe aina ya maswali na majibu.

Karibuni.
Ikiwa nina mke je wakati wa tendo la ndoa katika uislamu naruhusiwa kunyonya baadhi ya maeneo na pia kulamba maeneo flani
... Vipi kama ni msafi siwezi pata shida ya kiafya?
 
Mbona Afghanstani wanakwama na Katiba yao toka kwa mola?

Mimi naona Afghanistan ikikwamishwa kwa nguvu na mataifa ta nje.

Ni kana tunavyokwamishwa sisi na mataifa ya nje, tofauti ni kuwa sisi tumefanywa misukule ya mataifa ya nje, kila wanachosema tunakubali. Taliban wa Afghanistan wamelikataa hilo la kufanywa misukule.
 
Ikiwa nina mke je wakati wa tendo la ndoa katika uislamu naruhusiwa kunyonya baadhi ya maeneo na pia kulamba maeneo flani
... Vipi kama ni msafi siwezi pata shida ya kiafya?
Kuna uzi mzuri sana umefunguliwa hapa JF unaofundisha mambo mengi, mazuri na mabaya, kuhusu mahusiano ya mke na mume kwa mtazamo wa Muislam, upitie👇🏾

 
Mama FaizaFoxy je Mwanaume wa kiislamu, ndoa ya kwanza akioa ya kidini (Islam) ya pili anaweza funga Bomani? Na mwanamke wa dini nyingine? Na kama si sawa naomba ufafanuzi. Asante
 
Sharia ya kufirana siyo.

Tatizo hilo nalo pia lina ufumbuzi wake katika sharia. Wote wawili, mfiraji na mfirwaji wanahukumiwa pamoja.

Tanzania kwa sheria zetu, juzi tumeshuhudia kwenye vyombo vya habari anahukumiwa aliye lawitiwa tu, tatizo limebaki pale pale.

Mapungufu kama hayo yanaondolewa kwa kufata sharia.
 
Mama FaizaFoxy je Mwanaume wa kiislamu, ndoa ya kwanza akioa ya kidini (Islam) ya pili anaweza funga Bomani? Na mwanamke wa dini nyingine? Na kama si sawa naomba ufafanuzi. Asante
Mwanamme Muislam ameruhusiwa kuoa mpaka wake wanne ikiwa ataweza kufanya uadilifu.

Pia ameruhusiwa kuoa katika wakristo na Wayahudi wanaofata vitabu vyao, (ahli. L'kitaab) siyo kuoa Mkristo au Myahudi jina tu.

Kwa maana hiyo hata akioa mwanamke wa Kiislaam ni jukumu lake kuhakikisha mkewe anafata dini yake.

Na Allah ndiye mwenye kuelewa zaidi.
 
Sina swali lolote kwako ila ningependa tu kukwambia kuwa:

Uislam = Ubaguzi
Uislam = Udini
Uislam = Unyama
Uislam = Ugaidi
Uislam = Uongo
Uislam = Chuki

Mnajenga msikiti juu ya temple of david (temple mount) mnadanganya watu kuwa ni nyie ndio wa kwanza pale.

Mnailaumu Marekani na Uingereza kwa kila kitu ila kibaya ila ndio nchi za kwanza mnazokimbilia kutafuta maisha bora.

Wenyewe kwa wenyewe mnatengeneza makundi katika dini yenu alafu mnauana kwa kuona hao wenzenu hawana imani ya kweli.

Nchi yenu yenye sehemu utakatifu inanyima haki ya kuzungumza, wanawake na haki zao na dini nyingine.

Mnalaumu west kwa kuwabagua waislamu wakati nchi zenu mliwafukuza ambao si waislam na kuchoma nyumba za ibada zao.

Juzi hapa zanzibar mnaandamana kupinga kujengwa kaanisa.


Penda usipende, cha mtu ni cha mtu kwa hio utapinga haya ila tambua kuwa uislam ni tishio na cult hatari sana.
 
Back
Top Bottom