Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Ajitokeze apa jukwaani pia ata wew unaweza nisaidia mjukuu wako ili waislam tuwe wengi au hupendi ilo?
AlhamduliLlah wajukuu zangu siwezi kukuoza kwa sababu hunijuwi sikujuwi.

Waislam tuna vigezo vyetu vya ndoa.
 
Tukutane wapi kusheherekea ushindi wa leo?
 
Swali la mwisho madam? Kwaiyo kuna baadh ya mambo yanaweza kubadilika kulingana na muda au eneo katika uislam?
 
AlhamduliLlah wajukuu zangu siwezi kukuoza kwa sababu hunijuwi sikujuwi.

Waislam tuna vigezo vyetu vya ndoa.

eti waislam tuna vigezo vyetu vya ndoa[emoji23]

Utadhani mko so special kumbe hamna lolote.

Kutwa nashuhudia hao hao waislam wanaolewa na wakristo na ndoa za kanisani kila siku.

Mnajiona special sana nyinyi mnyaazi
 
Ukiona Muislam kaolewa na Mkristo elewa kuwa huyo kafanya kufuru, kawa kafiri, hakufata mafundisho ya Kiislam.
 
eti waislam tuna vigezo vyetu vya ndoa[emoji23]

Utadhani mko so special kumbe hamna lolote.

Kutwa nashuhudia hao hao waislam wanaolewa na wakristo na ndoa za kanisani kila siku.

Mnajiona special sana nyinyi mnyaazi
Ananibania mjukuu wake wa miaka 6 hana lolote special gan hawa jubas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…