Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,377
- 2,800
Ajitokeze apa jukwaani pia ata wew unaweza nisaidia mjukuu wako ili waislam tuwe wengi au hupendi ilo?Nenda tu mbona Waislam Tanzania wako wengi sana, hujuani nao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajitokeze apa jukwaani pia ata wew unaweza nisaidia mjukuu wako ili waislam tuwe wengi au hupendi ilo?Nenda tu mbona Waislam Tanzania wako wengi sana, hujuani nao?
Hajui kwa kuwapata , mwelekeze tafadhali.Nenda tu kwa Waislam, mbona Waislam Tanzania na duniani wako wengi sana, hujuwani nao?
Tukutane wapi kusheherekea ushindi wa leo?General Knowledge.
Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo unataka upatiwe majibu.
Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu.
Hapa ni kwa ajili ya kuelimishana na kujuzana bila kikomo, iwe swali lolote liwalo.
Update 1:
Tafadhalini tuulize maswali kiheshima . Heshima ni kitu cha bure na hii JF yetu pendwa inasomwa na wengi, tujiheshimu.
Update 2:
Siku kadhaa zimepita toka tuanzishe uzi huu na nimesikitishwa na aina ya maswali yanayoulizwa kwenye huu uzi.
Tumetowa fursa ya kuulizana na kila niwezapo kujibu au kutafuta majibu muafaka kutokana na hayo maswali na fursa ya wachangiaji kujibu maswali yatakayojitokeza ya "general knowledge" lakini hadi hii leo ni maswali machache sana yenye faida kwa wengi yameulizwa. Maswali yaliyojaa ni amma ya kutaka kuanzisha ubishi "ligi" na amma yamelenga mtu binafsi, hususan amelengwa mleta mada. Ni masikitiko makubwa sana.
Nnawashauri wote waliouliza maswali yenye kulenga binafsi na wale waliouliza maswali yenye kubomoa badala ya kujenga wabadilike na waanze kuuliza maswali yenye kujenga, kuelimisha, kutujaza hekima na maarifa.
Nilipoweka aina ya elimu niliyoisomea nilidhani ntakumbana na kibano kikali kuhusu hilo na nijibu ili iwe faida kwa wengi lakini kwa bahati mbaya au nzuri hakuna hata mmoja aliyeuliza swali lolote kuhusu hilo.
Isitoshe, mna fursa ya kuuliza kuhusu chochote. Ndege, mimea, dunia, sayari, nyota, maajabu, maswali yasiyokuwa na majibu, viumbe kwa ujumla vinavyojulikana na visivyojulikana, maajabu ya duniani, elimu na vitu vingi kama hivyo na vinginevyo.
Nnauhakika wale walioleta maswali ya kiajabu ajabu ya ubishi wana mengi sana ya kuuliza yanayoweza kuwapa faida wengi na kuna wengi kati yao wana mengi wanayajuwa na wanaweza kuchangia kwenye majibu kwa faida ya wengi.
Ombi langu kwa wote ni tuboreshe aina ya maswali na majibu.
Karibuni.
Hakuna tatizo mbona mtume alioa wa miaka 9Mbona mingi sana hiyo hata mitatu ukipata muoe tu. Tatizo nini?
Maandiko ya kitabu kitakatifu kilichoshushwa na allah pia yanaweza badilika kulingana na muda na eneo?Ndiyo.
AlhamduliLlah wajukuu zangu siwezi kukuoza kwa sababu hunijuwi sikujuwi.
Waislam tuna vigezo vyetu vya ndoa.
Ukiona Muislam kaolewa na Mkristo elewa kuwa huyo kafanya kufuru, kawa kafiri, hakufata mafundisho ya Kiislam.eti waislam tuna vigezo vyetu vya ndoa[emoji23]
Utadhani mko so special kumbe hamna lolote.
Kutwa nashuhudia hao hao waislam wanaolewa na wakristo na ndoa za kanisani kila siku.
Mnajiona special sana nyinyi mnyaazi
Ananibania mjukuu wake wa miaka 6 hana lolote special gan hawa jubaseti waislam tuna vigezo vyetu vya ndoa[emoji23]
Utadhani mko so special kumbe hamna lolote.
Kutwa nashuhudia hao hao waislam wanaolewa na wakristo na ndoa za kanisani kila siku.
Mnajiona special sana nyinyi mnyaazi
Maandiko ya kuusu mtume kumuoa binti wa miaka 9 hayakuandikwa kwenye kitabu kitakatifu kilichoshushwa na allah?Hapana.
Ha ha haaaaNishaanza mazoezi ya kusherehekea ushindi 👇🏾
View attachment 2638147
Usisahau corner bar Sinza. Baada ya mechi.