Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Sifaham maana yake,unamaanisha Adam alikuwa muislam? Na kwanini uislam unahusishwa na mtume Muhammad ambae yeye hakuwepo tangu mwanzo? Muhammad ni nan katika uislam?
Maana ya Uislam ni kujisalimisha kwa Muumba wako.

Kama Adam ndiye mtu wa kwanza duniani basi jiulize alijisalimisha kwa nani?

Mtume Muhammad kaja miaka 600 baada ya ukristo, kapewa Qur'an ili kuweka sawa yaliyopotoshwa, kikuu bink6amini Mwenyezi Mungu ni mmoja na kujisalimisha ni kwake tu.

Huo pia ndiyo ujumbe waliokuja nao mitume wote wa kabla yake, kwa majina wametajwa 25 ndani ya Qur'an.
 
Anhaa ahsante kwa maelezo, lakini mbona Adam alikuwa he muislam wakati alikataa kujisalimisha kwa Mungu? Na hiyo Quran alipewa na nani? Mtunzi pia alikuwa ni nani?
 

Hiyo hiyo kurani, wakateni vichwa wanaotumia vitabu vingine isipokua kurani

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Uislam upo daima. Hauna ulianza mwaka gani.
 
Sifaham maana yake,unamaanisha Adam alikuwa muislam? Na kwanini uislam unahusishwa na mtume Muhammad ambae yeye hakuwepo tangu mwanzo? Muhammad ni nan katika uislam?
Simaanishi Adam au yeyote.

Mtume Muhammad kapewa Qur'an na ni Mtume wa Mwisho.

Hata wewe jina lako linahusishwa na wa mwisho kabla yako.
 
According to wayahudi Mungu anaitwa Yahweh how come alipokuja Mohamed akasema anafuata Mungu wa Ibrahim na Uzao wake Kina Musa n.k Sasa kwanini aliamua Kumtungia jina jipya Mungu ya Ibrahim na kumuita Allah. Je ni ukosefu wa Adabu au Mudy alikuwa mwendawazimu furani aliyepandisha Mashetani..
Na kumpa jina la Miungu ya Kipagani kama Lah , Yasin, Samad n.k
 
Qur'an 17:110. Sema: Mwombeni Allah (Mwenyezi Mungu), au mwombeni Rahman (Mwingi wa Rehema), kwa jina lolote mnalo mwita. Kwani Yeye ana majina mazuri mazuri. Wala usitangaze Sala yako kwa sauti kubwa, wala usiifiche kwa sauti ndogo, bali shika njia ya kati na kati ya hizo. 110
 
Fafanua maana ya ustaaarabu na unambie kivipi nimejipinga kauli yangu
Ukiielewa maana yake halafu ukijisoma utaelewa kuwa umejipinga:

Usta = wasta
Arab = Arabu.

Ustaarbu ni wasta wa Kiarabu. Unafahamu maana ya 'wasta"? Kama haufahamu, maana yake ni "influence".

Natumai darsa limekuingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…