Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Bi Faiza unaamini katika Bibilia...

Na kwanin katika mahubir yenu huwa mnarejelea bibilia... Means Quran haijitoshelezi au?.
 
Sina chuki na Joyce Ndalichako bali nnauhakika si kiongozi mzuri, alivurunda kama mkuu wa NECTA mpaka baadhi ya Waislam wa Tanzania wakaandamana kumkataa. Jikumbushe:

Pamoja na elimu na uelewa wako uliamini haya, kwani alikuwa akisahihisha mitihani peke yake?
Huoni kwamba unaongozwa na mihemko ya kidini?
 

Hata ngamia, sungura na kambale kakatazwa ninyi mbona mnakulaga???
 
Nilifikiri niulizwe chochote.

Swali lako la pili, pitia hapa: Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa
Naomba niwie radhi bi mkubwa, mara nyingi nimekuwa nikikuchukulia kama msichana tu, hata maswali nilouliza sikujua namuuliza nani, nimeona kwenye moja ya comments zako kuwa kwa sasa uko unalea wajukuu, kwa kweli nimejisikia vibaya sana kwa swali moja nilokuuliza ambalo halikustahili, naomba radhi yako.
 
Muislam hafanyi kazi ya Mungu,

Na hilo si kwa Waislam pekee, tunaona hata kwa wasio Waislam wanachukua hatua kali kwa kushafiwa wao.

Ukiona mtu anakashifiwa Mungu wake na yeye anachekelea tu ujuwe huyo hana imani na Mungu wake.
=kukashifiwa.
 
Mbona maandiko yako wazi kabisa kuhusu vyakula?
View attachment 431838 Au una sababu nyingine tofauti na ya kimaandiko?


Sasa kijana, najisi unaiingiza makusudi mwilini mwako?

Maana ile aya inasema nguruwe ni najisi wala msimguse na aya hiyo uliyoileta Yesu Alayhi Salaam, anasema "kimuingiacho mtu", Hivi kweli Yesu atakuja kusema ingiza najisi mwilini mwako kutengua sheria za Taurati ambazo zimesema "Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu. Msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu."

Hebu msome Yesu Alayhi Salaam mistari michache kabla ya huo uliouweka anasema nini, hapa:

Mathayo 15:
7 Enyi wanafiki, ni vema alivyotabiri Isaya kwa habari zenu, akisema,
8 Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami.
9 Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu.

Halafu msome hapa anachosema:

Mathayo 5:
17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
18 Kwa maana, amin,
19 Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.


Vipi kijana unavunja amri ya Taurati ambayo hata Yesu, Alayhi Salaam, mwenyewe anasema ukivunja hata moja utaitwa "mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni..."

Nnakusihi usifate mafundisho ya watu, fata kitabu chako na In sha Allah kuna siku utaiona nuru.
 
Maashalah Lisa mzuri.
 

Duh mapya haya

Hii itakuwa bibilia ya Syria imeandikwa na ISIS
 
Unatetea maswahiba


Kwenye post namba 556, nilijibu hivi:

Kuwa "open minded" na usiwe na chuki za kupandikizwa ambazo huna ushahidi nazo, utaishi vizuri na watu duniani.


Ukiisoma hiyo link niliyokuwekea utaona kuwa CIA wenyewe wanakiri, sikuongeza langu hata moja, sasa nnaetetea ni mimi au CIA? Fikiri.


Nnaomba nijibu hilo swali langu, mstari wa mwisho nilipo bold.
 

Acha ubwege

So we unaishi torati Ya Moses

Yaani mtu uache kula nguruwe kwakuwa ni najisi kwa waislamu

Huo utakuwa wehu

Kila kimtokae mtu ndo najisi na si kiendacho kinywani

Acha kupotosha

Don't compare kuran na bible
 
Duh mapya haya

Hii itakuwa bibilia ya Syria imeandikwa na ISIS

Hapana, si "mapya", Biblia ya Syria itakuwa imeandikwa Kiarabu, kwa hiyo si ya Syria. Unaweza kuzifata hizo references.

Nnajuwa unayaona "mapya" kwa kuwa hujafundishwa biblia yako ipaswavyo na ndiyo huwa nawaaambia huwa "mnasomea ujinga".

Anza kwa kujisomea kwa roho kunjufu bila kuwa biased na In sha Allah kuna siku utaiona nuru iliyoondelewa kwako na ukafunikwa na kiza cha ujinga.

Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…