Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa


Hapa umeandika mwenyewe au ni copy and paste???maana naona kuna WE instead of I strongly advive you so kuna harufu ya copy and paste....
 
Hapa umeandika mwenyewe au ni copy and paste???maana naona kuna WE instead of I strongly advive you so kuna harufu ya copy and paste....


Hahaha nimeandika mwenyewe, na hiyo ni "we" ya heshima. Utamu wa lugha.
 
Achana nao hao wanaropoka hawajui nini kinaendelea
 
Dada Faiza nashukuru sana kwa ushauri.....Nairekebisha sasa hivi. Thank you very much!
 
Ni tofauti kabisa hata siku moja usimfananishe Issa na Yesu utakuwa unakosea sana.


Jesus' Original Name:

Prophet Jesus' original name was Isa (eesa) as shown below. Even in Latin, it is Iesu, and in Greek it is Iesus. In Arabic, it is Isa (eesa). It is literally pronounced as Eesa in Arabic. There is a great deal of evidence that Jesus spoke and preached also in Arabic. Not only that, but Greek wasn't even that popular in Palestine.



Very strong evidence that Jesus also preached in Arabic:

See the clear proofs here:

 

We mama

Mbona huwa unapenda sana udini udini???
 

Hapana, sina boa.


Muelewe boa:

The boa constrictor, also called red-tailed boa, is a species of large, heavy-bodied snake. It is a member of the family Boidae found in North, Central, and South America, as well as some islands in the Caribbean. Wikipedia

Did you know: Female boas incubate eggs inside their bodies and give birth up to 60 live babies.nationalgeographic.com

 
Mbali michango yako mingi ya indirect kwa Tz.
na kumsaidia fax machine Alhaji Hassan Mwinyi, je kuna mchango wowote ulioutoa direct kwa serikali au jamii ya Tanzania?

Unaiona vipi Tanzania baada ya miaka 10 ijayo ?

Ni Tanzania ipi unayo imagine ?

Ni athari gani hasi unaziona iwapo Tanzania itakuwa na wanajamii ambao ni wabaguzi kwa ukanda, ukabila, udini, rangi na race.

Ntarudi...
 
Ufumbuzi wa tatizo hilo ni salat na kumcha Mwenyezi Mungu.

Utulivu katika salat hukufungulia mawazo mema na kukuondolea stress nyingi za maisha.

Kuna dalili nyingi zinaonesha wale wanaoshika udhu na salat huwa na kinga kubwa ya maasi na mambo machafu.

Zinaa imekatazwa si na Uislam pekee hata imani zingine zimekataza.
Msiisogelee zinaa ni njia chafu.
 
Makosa ya wazazi yanaanzi kwao wenyewe. Allaah anaamrisha watu waziokoe nafsi zao kwanza kabla ya watu wengine. Wazazi wengi hawana misingi ya malezi bora wala hawakuipatiliza dini. Msingi wa kupata mtoto mwema ni mchanganyiko wa malezi bora yanayozingatia values za kijamii na kufuata dini kwa kumfunza akiwa mdogo na kumuombea dua kwa muumba wake. Malezi mema yanakulazimisha usiweke TV nyumbani ambaye ndiye mwalimu mkuu wa watoto kuanzia kuzungumza kuvaa kula kutenda n.k. na kumuweka mbali na miziki n.k. je unaona vijana wetu jinsi wanaelekea kwenye ushoga taratibu?? Huoni vijan wadogo wakivaa suruali chini y makalio wanataka nini?watu wakishaona makalio yao wawafanye nini? Mzungu katufukisha hapo. Mzazi akiwa hovyo watoto pia watakuwa hovyo tu. Malezi bora yanataka mzazi awe anAwafuatilia watoto na anakuwa pamoja nao anayajua mahitaji yao ya kiakili na kimwili na anawasaidia kuepuka vikwazo. Mtoto aanze kusoma dini mdogo na asiache mpaka anaachana na mzazi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…