Na ndipo atakapotakiwa talaka aikomboeBila shaka hapo atakuwa hampendi na hivyo inabidi ajivue kwenye ndoa kwa kurudisha mahari. Haya yote yanafanyika mbele ya kadhi au sheikh muadilifu ambaye atayapima na kutoa nasaha.
Sijdatu sahw ina sababu zake kuu tatu moja kama umeongeza kitu katika swala mbili kama umepunguza na tatu kama umepatwa na shaka katika swala. Hivyo swali lako halikukamilika kuwa specific. Nadhani mengine ni bora ukauliza inbox ili uzi usigeuke matumizi yakaSijda tu-sahwi kma nimesahau kuileta kabla ya salam au baada ya salam, nimuda gan ambao nikiikumbuka inatakiwa kuileta?
Sina hakika hasa nia yako ninini. Lakini fahamu tu kuwa kufanyika mbele ya kadhi ni kwakuwa mume wakati mwingine hugoma kutoa talaka hivyo inabidi alazimishwe na kwamba sheria inamshauri mume kuwa kama akiamua kusamehe hiyo mahari ni bora zaidiNa ndipo atakapotakiwa talaka aikomboe
Naam, majini nafuga samaki wa maji baridi. Sipandishi, wanapandana wenyewe.
Kuna post ZENYE kebehi na matusi Moderators wametumia busara kuzifuta kwa hiyo namba zimebadilika itafute post yako utaipata na pengine utakuta imejibiwa, kama bado uliza tena na pole kwa usumbufu.Kuna baadhi ya post sijui zinafutw au inakuwaje kuna swali niliuliza halikujibiw. Lilikuwa post# 1195 nimetafuta feedback nimekuta post ile ina swali jingine la mtu mwingine.
Mwanamke hawezi kutoa talaka. Bali anaweza kudai talaka.Kajirutaluka
Mwanamke wa Kiislam ana haki ya kumpa mwanamme talaka kupitia kwa kadhi kama mnae na amma kupitia masheikh au jamii ya Waislam (panel) pasipo na kadhi.
* hiyo id yako inauhusiano na talaka?
Marhabaa...mtoto mzur..Shikamooo Faiza foxy
Swali la mwanzo limejibiwa vizuri. Hakuna suala la mwanamke kutoa talaka bali mume lkn naye anabanwa na sheria. Kama wanawake wangekuwa ndio wanaotoa talaka nadhani tungekuwa wanaume wote tumeshaachwa siku nyingi.Kajirutaluka
Mwanamke wa Kiislam ana haki ya kumpa mwanamme talaka kupitia kwa kadhi kama mnae na amma kupitia masheikh au jamii ya Waislam (panel) pasipo na kadhi.
* hiyo id yako inauhusiano na talaka?
Haya mambo wewe hupaswi kuyajua wewe ufahamu wako umeanza baada ya kuzaliwa yaliyotokea kabla ya hapo hadi wewe ukapatikana hupaswi kuyachimbua kabisa ndiyo sababu mtoto akizaliwa huwa hana ufahamu wala kumbu kumbu...Katika taaluma (siyo rasmi) nilizowahi kusoma ni kuwa, unazaliwa mwanamke siku mama alipopata mimba aliwahi kufika na unazaliwa mwanamme siku baba aliwahi kufika.
HUWA LLADHII KAANA YABTAKIRU FIL ISLAAMABUBAKAR NI NANI KATIKA UISLAM?
Kiongozi.Naomba nifundishe namna ya KUOGA JANABA mimi mwanaume wa kiislam!