Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Jinsi unavyojibu inaonyesha Elimu yako na uwezo wako ni mdogo sana ila unamisifa tu!


Naam, wala si uongo, lakini hicho hicho kidogo changu kimekupa japo machache kwa kukifatilia.
 
Nini sababu ya viongozi wa awamu ya tano kuwa na matamko kila kukicha? Je,kuna madhara gani ya kutotekeleza matamko haya mfano kuondoa ombaomba Dar na Makahaba?
 
Nini sababu ya viongozi wa awamu ya tano kuwa na matamko kila kukicha? Je,kuna madhara gani ya kutokeleza matamko haya mfano kuondoa ombaomba Dar na Makahaba?

Natumai unaelewa kuwa CCM ilijinadi kufanya mabadiliko wakati wa kampeni. Na kweli mabadiliko yanaonekana.

Mabadiliko ni lazima uyatangaze yaeleweke, ndiyo sababu ya matamko ya mara kwa mara.

Nadhani si busara kufanya mabadiliko halafu usiyatangaze.
 
Kiswahili ni Lugha ya Taifa hapa nchini. Lakini English(kiingereza ni Lugha ya kitaaluma) na kimataifa. Je, kuna umuhimu wa kuchagua Rais ambaye anaijua vizur lugha ya kimataifa(English)? Kama ni ndiyo je,moja ya sifa ya mtu kugombea urais ni sharti iwekwe kwenye katiba ili kuepuka kupata rais ambaye hayuko vizuri kwenye lugha za kimataifa???
 
Kiswahili ni Lugha ya Taifa hapa nchini. Lakini English(kiingereza ni Lugha ya kitaaluma) na kimataifa. Je, kuna umuhimu wa kuchagua Rais ambaye anaijua vizur lugha ya kimataifa(English)? Kama ni ndiyo je,moja ya sifa ya mtu kugombea urais ni sharti iwekwe kwenye katiba ili kuepuka kupata rais ambaye hayuko vizuri kwenye lugha za kimataifa???

Kiswahili ni lugha ya Kimataifa pia. Usisahau hilo.

Si vyema kuweka sharti hilo, si lazima kujuwa Kingereza ndiyo uwe kiongozi mzuri.

Tujivunie lugha yetu nzuri ya Kiswahili.
 
FaizaFoxy, unadhani ni nini hatma ya mdororo wa kisiasa visiwani Zanzibar?
 
NAMLI hiyo Sura ya 27.

Ukiacha Bismillah inyoanza na Sura.

Bismillah nyingine unakutana nayo Aya ya Thelathini (30), ambayo inasema:-

INNAHUU MIN SULAYMAANA WAINNAHUU BISMILLAHI RRAHMAANI RRAHYIIM.

Na je wafahamu siri ya hiyo Bismillah?

Sura ya Tisa ambayo ni TAWBA, inaanza bila Bismillah, au kwa lugha nyingine haina Bismillah, jibu ni kwamba hakuna Sura ambayo ndani ya Qur'aan inakosa Bismillah.

Sura zote zina Bismillah, na ile TAWBA ambayo haijaanza na Bismillah, Bismillah yake inalipwa ndani ya Suuratul NAMLI, aya ya Thelathini (30) ambayo nimeshaitaja hapo juu
Sura zote zinaanza na bismillahi kutoa moja tu. Hakuna suala la kulipa.
 
WALAA KHALAQA JINNI WAL INSI ILLAA LIYA'ABUDUUN.

Mwenyezi Mungu anasema, Na wala sikuwaumba Majini na Watu isipokuwa waniabudu mimi.

Unaweza nijibu swali langu kwanza, kisha tuendelee na mjadala.

Swali ....

Pepo/Mapepo ni nini?
WAMAA KHALAQTUL JINNA WAL-INSA ILLAA LIYA'ABUDUUN

be careful
 
Back
Top Bottom