Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kuuliza nin chanzo cha bawasiri,na je dawa yake niipi naomba msaada ktk hili,
Shukrani sanaBawasiri ina vyanzo vingi, pamoja na haja kuwa ngumu.
Niliwahi kuona dawa humu humu JF imetangazwa kuwa inaponesha bawasiri pia, nami kwa kuwa nilikuwa nayo hiyo dawa ninaitumia kwa kulainisha nywele na ngozi, basi kuna siku mtu alilalamika ana tatizo la bawasiri nami nikampa akaijaribu. Naam, baada ya siku tatu alikuja kunishukuru kuwa tatizo limeisha.
Ni "Aunt Zainab's Natural Super Clay".
Pitia link hii: Pata elimu kuhusu ugonjwa wa kuota vinyama sehemu za siri (Bawasiri, Hemorrhoids)
Je nin chanzo cha miguu kuuma kuanzia magotini kushuka chini?imenianz ghafla Jana hadi napata homa nashangaa sababu hata miaka 26 sijafika naomba ushauri wako,ingawa najiandaa kwenda hospital hadi najihisi kukata tamaa
Ok shukraniNi vyema sana ukaanzia kwa kuwaona madaktari.
Mambo mengi sana yanaweza kusababisha miguu kuuma. Hata viatu vinaweza kusababisha miguu kuuma. Ni wazo jema sana hilo la kwenda hospitali.
"First aid" mbadala ni kuchemsha maji ya moto yenye chumvi nyingi, unaweka kwenye beseni na yanapoanza kupowa kiasi kuwa ni ya moto lakini hayaunguzi, unatumbukiza miguu ndani ya hilo beseni na kuiroweka mpaka yapowe kabisa.
Hii ni "home remedy" tu na suluhisho kamili la tatizo lako inabidi umuone daktari haraka iwezekanavyo.
Balaaaa,Nna shahada ya kwanza ya Electronics Engineering, Major in Telecommunications (Canada, 1982).
Eti TEZI DUME inapimwaje?🙂😉
FaizaFoxy, unadhani ni nini hatma ya mdororo wa kisiasa visiwani Zanzibar?
Kwa maadili mema tu, katika vitu ambavyo hupaswi kumuuliza mtu, ni miaka yake mingapi?
Kingine ni kumuuliza mtu kama "una watoto"?
Vipo vingi lakini kwa leo hivyo vitakutosha kuvifikiri.
*Wale wote watakaoona nimewapa link ya kuja post hii waelewe kuwa swali lao liko nje ya maadili.
= unawajibu
Kwani hapa nnaomba kazi?
kwa akili zangu ndogo maadili ya apply kote ata kwenye kazi au kwenye maulaji maadili yanakaa pembeni kidogo? maana huyu muajiri wako ni binadamu sawa na huyu aliyekuuliza hapa sema tuu yeye kauliza kwa kupitia marimba ya mzungu