Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Hivi wewe uliwahi kuolewa hapo zamani je wewe ni mke ya mtu?je katika imani yako unafungamana na kundi gani la kigaidi?
 
exactly.
 
Majibu mujarabu, sasa, hawa wanaochinja watu na kuvamia wengine kwenye Biashara za m-pesa na kuwapora na kuwaua huku wakidai ni ibada wanatumia kitabu gani na aya zipi?
 
Hivi dada nyumbani kwako unaweza kumkaribisha mkiristu aliyefunga kipindi cha kwaresma na muda wa kufuturu ukifika unamuandalia chakula kama mama yangu mzazi alivyokuwa anawaandalia futari na daku marafiki zangu niliosoma nao wajapo kunitembelea na hautaweka sumu?
 
Hilo ndilo jibu langu, kama unaliona si sahihi nnaomba lisahihishe, weka jibu sahihi kwa swali lililoulizwa.

Kuhusu "udini", nnaomba kasome hapa: Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa
Ulichojibu ni Yale yale ambayo tumeyazoea kutoka ktk midomo yenu kua mlifelishwa makusudi kwasababu ya Imani yenu kwamba hawataki msome sn.

Haya haya ndio hua mnadai ata ccm ina mfumo Kristo na wakati huo huo kuacha ccm hamtaki na ni wanazi wakubwa Wa ccm lkn wakati mwingine mnakuja ooooh ccm ni mfumo Kristo.

Ni udhaifu huo tena mnapaswa mbadilike sn.
 
Nna shahada ya kwanza ya Electronics Engineering, Major in Telecommunications (Canada, 1982).
Kumbe msomi mzuri.

Swali la 1: Je, elimu yako imelisaidiaje/inalisaiaje taifa la Tanzania katika nyanja hiyo ya 'Telecommunications'?

Swali la pili: Je, kwa sasa unaishi Tanzania au nje ya Tanzania?

Swali la 3 na la mwisho kwa sasa: Je, hiyo picha/avator ni ya kwako?
 
Hayo ni maoni yako na mimi siwezi kuyaingilia, upo huru. Lakini ungeweka ushahidi wa hiyo "kufosi" ingekuwa raha kweli.
ukifungua account ya dolla au pound nikawa naweka dola 100 kila mwezi kwa muda wa miaka mitano je unaamini dola itashuka au shilingi itapanda thamani? na nikapata faida?
 
Sina chuki na Joyce Ndalichako bali nnauhakika si kiongozi mzuri, alivurunda kama mkuu wa NECTA mpaka baadhi ya Waislam wa Tanzania wakaandamana kumkataa. Jikumbushe:

Faiza acha kumshutumu Ndalichako kuwa ni sababu ya kufeli kwa waislam
Waislam wanafeli kwa upumbavu wao wa kujali elimu Akhera zaidi na kupuuzia elimu Dunia, mtoto wa kiislam yuko tayari akakeshe Madrasa usiku mzimaa au akakeshe kwenye maulidi lakini si kukesha kujisomea (baadhi ambao ni the Most) Mfano mzur hapa kwetu ni kule visiwani Pemba watu wengi hawajasoma kule japo karibu woote ni waislamu halikadharika pwani pia, kwaiyo kufeli kwa Waislamu wala halikua ni jambo la Ndalichako na tunakuomba kama wewe ni Muislam safi futa hizo kauli kuwa NECTA chini ya Ndalichako ilikua ikiwahujumu waislamu, Kwanza NECTA haina jukumu hilo la kuweza kuwahujumu maana kazi ya NECTA ni kuandaa mitihani (Ambayo hufanywa na dini zote na hata waso Dini) Kusimamia shughuli nzima za ufanyaji wa Mitihani (hapa hushirikiana na baadhi ya walimu +Polisi kwa ajili ya usalama), usahihishaji wa Mitihani (hapa pia baadhi ya walimu huusika +usalama wa Taifa) na utoaji wa matokeo haya kwa mtililko huo tuambie ni wapi Ndalichako anaweza kuingiza kwato zake na kuwchukia Waislam na kuwapangia matokeo ya peke yenu mabaya mabaya mabovu mabovu!
NI DHAMBI KWA MTOTO WA KIISLAM KUONGEA VITU VYA UONGO USIVYO NA UHAKIKA NAVYO, LAKINI KUBWA ZAIDI KUONYESHA CHUKI ZA WAZI WAZI JUU YA MTU FULANI KUTOKANA NA JINA LAKE Joyce Ndalichako.
 
Una uhakika hayo maswali yanamuhusu Faiza Fox?
 
wAPEMBA VIPANGA. I KONW THIS FOR A FACT.
 
Unafikili kwa kutumia ubongo kweli,the logic there ni equality..soma ata hayo mabango ujielimishe
Usiongozwe kwa mabango ongozwa kwa fact , siku zote mtu aliyeshindwa hutafuta mchawi wa kumtupia zigo la kushindwa kwake
Hivi unaufahamu mchakato wa NECTA wewe kuanzia upatikanaji maswali mpaka utoaji matokeo? Sasa kama unaufahamu unathubutuje kuendeshwa kwa mabango na kumshushia shutuma mama wa watu kisa waislam wamefeli
Siku ndugu zangu wakianza kuithamini elimu Dunia kama waithaminivyo elimu Akhera basi lawama hizi zoote zitakwishwa
Tuipe kipaumbele elimu Dunia tuache longo longo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…