FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #1,721
Je, nchi gani zingine zina huu utamaduni wa utani, hususan katika Africa kama tufanyavyo sisi.
Asante!
Naomba uipitie hii mada ya Kutoka tasnifu ya shahada ya uzamili ya Salama Omar wa Chuo Kikuu cha Dodoma iliyopewa jina "NAFASI YA UTANI WA SOKONI NA DIKONI KWA JAMII YA WAZANZIBARI":
Utani miongoni mwa Waswahili wa Zanzibar