Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Utaokoka lini?yaani kumpokea Yesu kuwa Bwana na mokozi wa maisha yako.
 
Asalam alaykm.
Naomba jibu: Bismillah ladhy layadhur maasmih shain fil ardh wala fissamai wahuwa'ssamiun 'alim.
Nikitaka kumsomea mtoto dua hii naigeuzaje hapo kwenye ladhy ili iwe kwa ajili yake?
Shukraan
 
Asalam alaykm.
Naomba jibu: Bismillah ladhy layadhur maasmih shain fil ardh wala fissamai wahuwa'ssamiun 'alim.
Nikitaka kumsomea mtoto dua hii naigeuzaje hapo kwenye ladhy ili iwe kwa ajili yake?
Shukraan
Wa alaykum salaam. Mtume alikuwa akiwasomea dua mbalimbali wajukuu jilazimishe na.hizi mbili


- ((بسم الله الذي لا يضر مع اسمه شيء في الأرض ولا في السماء، وهو السميع العليم)) (ثلاث مرات)؛ أخرجه أبو داود وابن ماجه في سننهما.



- ((بسم الله أرقيك، من كل شيء يؤذيك، من شر كل نفس أو عين حاسد، الله يشفيك، بسم الله أرقيك))؛ أخرجه مسلم في صحيحه.




Asalam alaykm.
Naomba jibu: Bismillah ladhy layadhur maasmih shain fil ardh wala fissamai wahuwa'ssamiun 'alim.
Nikitaka kumsomea mtoto dua hii naigeuzaje hapo kwenye ladhy ili iwe kwa ajili yake?
Shukraan
 
Ndio mimi husoma hivyo na kuwapulizia. Sina uhakika kama nafanya sahihi. Nashkuru akhy.
Jazakallahu lkhayr
 
Inasemekana humu JF wewe ni mti wenye matunda.. tena ni matamu mno.. kila mtu anarusha jiwe lake..
Je, unalizungumziaje hilo FaizaFoxy..?
 
Asalam alaykm.
Naomba jibu: Bismillah ladhy layadhur maasmih shain fil ardh wala fissamai wahuwa'ssamiun 'alim.
Nikitaka kumsomea mtoto dua hii naigeuzaje hapo kwenye ladhy ili iwe kwa ajili yake?
Shukraan
Hebu nijaribu kuleta maana kwa Kiswahili, inasemaje?

Kwa jina la Mwenyezi Mungu ambae hakidhuru kitu chochote Mbinguni wala Ardhini kutokana na jina lake. Nae Mwenyezi Mungu ni Msikivu na ni Mjuzi.

Kwa haraka haraka nikiangalia hii Dua inaingia kote, kote.

Nikiwa na maana, unamuomba Mwenyezi Mungu kuepusha na Mabalaa.

Kwahiyo kwa kumuombea Mtoto sidhani kama kuna chochote cha kubadilisha
 
Ndio mimi husoma hivyo na kuwapulizia. Sina uhakika kama nafanya sahihi. Nashkuru akhy.
Jazakallahu lkhayr
Ni sahihi, tena sana.

Hapo kama nilivyosema, inaingia kote kote.

Nikiwa na maana,

Ukijiombea wewe Mwenyewe ni sahihi, na ukiwaombea Watoto ni sahihi pia.

Lengo kuu hapo ni kumuomba Mwenyezi Mungu akuepushe na Mabalaa yote, kwa kuyataja machache ikiwemo Shirki, Labda Ndoto za ajabu ajabu, kuweweseka.

Kwahiyo kwa kumuombea Mtoto inafaa sana, kama nilivyosema Mabalaa yote, pia HUSDA inahusu sana hapo.

Kama ujuavyo, Watu wana HUSDA sana linapokuja suala la Watoto.

Unafanya vyema sana.

ALLAH akubariki sana, akulinde, na akufanyie wepesi kwa kila jambo lako InshaAllah
 
( إِنَّ اللَّهَ اشْتَرَىٰ مِنَ الْمُؤْمِنِينَ أَنفُسَهُمْ وَأَمْوَالَهُم بِأَنَّ لَهُمُ الْجَنَّةَ ۚ يُقَاتِلُونَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ فَيَقْتُلُونَ وَيُقْتَلُونَ ۖ وَعْدًا عَلَيْهِ حَقًّا فِي التَّوْرَاةِ وَالْإِنجِيلِ وَالْقُرْآنِ ۚ وَمَنْ أَوْفَىٰ بِعَهْدِهِ مِنَ اللَّهِ ۚ فَاسْتَبْشِرُوا بِبَيْعِكُمُ الَّذِي بَايَعْتُم بِهِ ۚ وَذَٰلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ )

التوبة (111) At-Tawba

Hakika Mwenyezi Mungu amenunua kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwa kuwa wao watapata Pepo. Wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu - wanauwa na wanauwawa.

Kwa mjibu wa aya hii je uislamu ni ugaidi?
 
Kumekuwa na utitiri wa vitabu vya kiislam vinavyoandikwa na madhehebu mbali mbali ya kiislam na wakiitikadi wanatoa kwenye hadhithi za mtume.je mnachombo kimoja kinachoangalia usahihi wa vitabu hivyo,haswa yaliyoandikwa ndani? Kwasababu wasio waislam wakisoma na kunukuu hapa mnasema wanakashifu imani zenu sasa naomba kujua kama kuna final editors wa vitabu vyenu kabla havijakwenda sokoni. Kama vipo je mliwahi soma vitabu hivi
Vipi uhiji...... Kinaongelea hija na ndoa za muta je ndoa hizi ni halali?
Mkweli mwaminifu cha kwanza na cha pili...... Someni amri 10 za uislam.
Maisha ya nabii Muhammad...... Someni kisa cha baitul mkadis alipokwenda kuchukua swala tano pale mazingaombwe matupu.
Wakeze mtume wakubwa na wanae........ Kupewa utume kwa Muhammad
Sahihi bhukari juzuu ya kwanza uk no 224 .......fafanuzi ya Quran suratul baqar 2:223 wake zenu konde zenu ziingilien mpemdavyo..... Kitabu kinasema wameruhusiwa kuingiliwa nyuma na mbele.
Someni alulu almarjan 1,2,3 utaona mambo mengi Allah ataingia motoni siku ya kiama.
Vipo vitabu vingi sana sasa je mnavipitia?
Au mnabisha tu mkipewa reference
 
Ni full ugaidi. Kwa nn?

1. Magaidi wanauwa kwa ajili ya mwenyezimungu
2. Wanauwa wanaoichallenge imani yao
3. Wakati wakiuwa wana mtaja mungu wao
4. Kuna ahadi kedekede wameahidiwa wakiua wasio waislam ikiwemo mabikra 72.

Kwa nn usiwe ugaidi?
 
Sahihi bhukari juzuu ya kwanza uk no 224 .......fafanuzi ya Quran suratul baqar 2:223 wake zenu konde zenu ziingilien mpemdavyo..... Kitabu kinasema wameruhusiwa kuingiliwa nyuma na mbele.
Astaghfirullah, Astaghfirullah, Astaghfirullah.

Wewe jamaa acha kupotosha.

Nimeamua kupunguza kipengele cha pumba zako ili niparekebishe hapa kwanza, sababu naona mnataka kuupotosha Umma, kitu ambacho si cha kweli.

Kwa ufahamu wako, waingilieni mpendavyo, ndio wameruhusiwa kuingiliwa nyuma na mbele?

Hilo suluhisho umelitoa wapi?

Waingilieni mpendavyo inahusiana vipi na kuingiliwa nyuma na mbele?
 
Tatizo lugha ya kiswahili haielewi. Neno 'konde' likimaanisha shamba. Na shamba ni pale ukiweka mbegu zitamea. Sasa huko anapopazungumzia ukiweka mbegu zinamea?

Ujinga huo huwa wanadanganywa wapiga magoti kwenye mabenchi kwakuwa hawatafakari.

Kwakumsaidia,aya inasema "...waendeeni mpendavyo" si "mpendapo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…