Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa


Usirukeruke kwanza umeuliza aua ya mwanzo na nimetoa maelezo na ufafanuzi wake umeelewa? Allaah anasema katika surat maidah aya ya 72 na 73 kuwahusu ninyi

Kwa yakini wamekufuru wale waliosema: “Hakika Allaah ni Al-Masiyh mwana wa Maryam.” Na Al-Masiyh alisema: “Enyi wana wa Israaiyl! Mwabuduni Allaah, Rabb wangu na Rabb wenu. Hakika mwenye kumshirikisha Allaah bila shaka Allaah Atamharamishia Jannah, na makazi yake yatakuwa ni motoni. Na madhalimu hawatopata yeyote mwenye kunusuru.”

Kwa yakini wamekufuru wale waliosema: “Hakika Allaah ni watatu wa utatu. ”Na hali hapana Muabudiwa wa haki isipokuwa Ilaah Mmoja (Allaah). Na wasipoacha yale wanayoyasema, bila ya shaka itawagusa wale waliokufuru miongoni mwao adhabu iumizayo.

 

Ma sha Allah.

Naam, aya haina shaka ndani yake kama ilivyo kwa Qur'an yote.

Ukiitaka raha ya aya hiyo nnakushauri usome maudhui ya Suratul Hajj, kama ni tafsiri ya Barwani basi anza kusoma maelezo ya mwanzo kabisa kabla ya hiyo aya.

Halafu ili kuifahamu "context" (maudhui) ya hiyo aya anza (kwa uchache) aya ya 38 na kama si taklifa kwako basi anza mwanzo hiyo sura umalizie mwisho wa hiyo sura, sura si ndefu ni aya 78 tu lakini zimebeba maudhui nzuri sana tena sana na ukiisoma hiyo aya moja tu basi hujitendei haki.

Majibu ya maswali yako yote kuhusu hiyo aya utayapata ukiisoma kwa ukamilifu wake.
 
Duuh!!!! post ya 1700 n some points [emoji15] [emoji15] [emoji15] ...wewe Bibi Faiza una nini?
 
Na ndio maana nimemuanzia mbali sana, sikutaka nimpeleke moja kwa moja.

Nilikuwa nataka aje kwanza kisha ndio nianze kumuweka sawa.

Na hapo hapo mbona hiyo Aya ilishatafsiriwa kwenye Hadithi (Bukhar), Mtu kama wewe najua unafahamu, ila yule siwezi kumpeleka huko, najua hatoelewa na tutaishia kubishana. Kitu ambacho si kuelimishana bali ni kupingana.

Hadithi imetuonya kabisa na inatuambia, kama kumbukumbu zangu ziko sawa inasema hivi,

Yoyote atakaemuingilia Mwanamke kinyume na maumbile MALAIKA wote watamlaani.

Na kwa kuongezea, tuache alivyotafsiri yeye. Twende kwenye Aya inasemaje?

NISAAUKUM HARTHULLAKUM FA'TUU HARTHAKUM ANNAA SHI'TUM.

ANNAA SHI'TUM, ambayo maana yake vyovyote mtakavyo/mtakavyotaka na si kwa njia yoyote mtakayo.

Sasa wapi Aya iliposema Njia?


 
Kwanza aliekuambia hiyo ni Hadithi ni nani?

Inawezekanaje nikae kimya ikiwa wewe unapotosha?
Nimetoa hadithi acha kukurupuka kama hujui kaa kimya.
Ungekuwa msomi ungeitafsiri hiyo hadhithi kwamba inamapungufu haya ama la au inalenga hili au la sio kubisha bisha.......
Narudia tena hiyo sio Hadithi.

Pili, Mimi sio msomi bali ni Kiumbe ambacho kinapenda kujifunza mambo mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali, ikiwemo wewe mwenyewe kama kuna jambo la kujifunza kutoka kwako


Ungekuwa msomi ungeitafsiri hiyo hadhithi kwamba inamapungufu haya ama la au inalenga hili au la sio kubisha bisha.......
Mimi sijabisha, bali nlikuwa nakuweka wewe sawa ili usiupotoshe Umma


Ungekuwa msomi ungeitafsiri hiyo hadhithi kwamba inamapungufu haya ama la au inalenga hili au la sio kubisha bisha.......
Hakuna mapungufu yoyote/Hamna mapungufu yoyote, kwasababu:-

Maana yake, Waingilieni vyovyote mtakavyo/mtakavyotaka na sio kwa Njia yoyote mtakayo/muitakayo.

Hayo maneno mawili niliyokuwekea hapo juu rangi ya kukoza Nyeusi na rangi ya kukoza Nyekundu, wewe kwa uelewa wako unaelewaje?
 

Ma sha Allah.

Briefly, well defined, to the point.
 
Armin Meiwes

Kwa ufupi, huyu aliweka tangazo katika mtandao (Internet) kwenye blogu inayojiita "mgahawa wa wala watu" ( inayohusiana na wenye hamu ya kula watu!), alijitangaza kuwa anahamu ya kula nyama ya mtu na kwa kushangaza kabisa akajitokeza mtu aliyeliona hilo tangazo na yeye alikuwa na hamu ya kuliwa nyama yake! Endelea...


Armin Meiwes
(English pronunciation: /ˈɑːrmɪn ˈmaɪvəs/; born 1 December 1961) is a German man who achieved international notoriety for killing and eating a voluntary victim whom he had found via the Internet. After Meiwes and the victim jointly attempted to eat the victim's severed penis, Meiwes killed his victim and proceeded to eat a large amount of his flesh.[1]Because of his acts, Meiwes is also known as the Rotenburg Cannibal or Der Metzgermeister (The Master Butcher). His main occupation was working as a computer repair technician.

Looking for a willing volunteer, Meiwes posted an advertisement on the website The Cannibal Cafe (a blog site for people with cannibal fetishes). Meiwes's post stated that he was "looking for a well-built 18- to 30-year-old to be slaughtered and then consumed."[2] Bernd Jürgen Armando Brandes, an openly bisexual[3] engineer from Berlin, then answered the advertisement in March 2001. Many other people responded to the advertisement, but backed out; Meiwes did not attempt to force them to do anything against their will.[4][5] The two made a videotape when they met on 9 March 2001 in Meiwes's home in the small town of Rotenburg, showcasing Meiwes amputating Brandes's penis and the two men attempting to eat the penis together before Brandes's ultimate demise. Brandes had insisted that Meiwes attempt to bite his penis off. This did not work and ultimately, Meiwes used a knife to remove Brandes's penis. Brandes apparently tried to eat some of his own penis raw, but could not because it was too tough and, as he put it, "chewy". Meiwes then fried the penis in a pan with salt, pepper, wine and garlic; he then fried it with some of Brandes's fat but by then it was too burned to be consumed. He then chopped it up into chunks and fed it to his dog.[1]

Soma zaidi: Armin Meiwes - Wikipedia
 
Kwa nini askofu Pengo anamchukia sana Dr Dau?
Hakuna ukweli katika hilo, Pengo yupo above individual hatred, way above.

Hizi chuki zenu za mitaani yeye hazimuhusu.

Jee, unajuwa kuwa Dr. Ramadhan Dau kapokelewa na Mfalme wa Malaysia kwa mizinga 21 na kukaguwa gwaride la heshima?

Waulize waandishi wetu wa habari vipi balozi wa Tanzania anapewa heshima kubwa namna hiyo wao hawaripoti?
 
Kea hiyo waislam wanaosema kuwa Askofu Pengo ndiye aliyemashinikiza Magu kumwondoa Dau NSSF na Tanzania ni waongo na Askofu Pengo ni swahiba mkubwa wa Dr dau au vipi??
 
Bibi faidha shikamoo swali langu ninauliza kabla ya mtume muhammad s.a.w kuisimamisha dini ya kiislamu je jina la Allah ikiwa na maana Mungu muumba je liliibuka Baada ya Muhammad s.a.w au lilikuwepo kitambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…