babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Nimeomba maelezo ya ziada huenda nikasaidia. Kwani majibu uliyopewa naona yanajitoshelezaHujajibu maswali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeomba maelezo ya ziada huenda nikasaidia. Kwani majibu uliyopewa naona yanajitoshelezaHujajibu maswali
( الَّذِينَ أُخْرِجُوا مِن دِيَارِهِم بِغَيْرِ حَقٍّ إِلَّا أَن يَقُولُوا رَبُّنَا اللَّهُ ۗ وَلَوْلَا دَفْعُ اللَّهِ النَّاسَ بَعْضَهُم بِبَعْضٍ لَّهُدِّمَتْ صَوَامِعُ وَبِيَعٌ وَصَلَوَاتٌ وَمَسَاجِدُ يُذْكَرُ فِيهَا اسْمُ اللَّهِ كَثِيرًا ۗ وَلَيَنصُرَنَّ اللَّهُ مَن يَنصُرُهُ ۗ إِنَّ اللَّهَ لَقَوِيٌّ عَزِيزٌ )
الحج (40) Al-Hajj
Wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki, ila kwa kuwa wanasema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Na lau kuwa Mwenyezi Mungu hawakingi watu kwa watu, basi hapana shaka zingeli vunjwa nymba za wat'awa, na makanisa, na masinagogi, na misikiti, ambamo ndani yake jina la Mwenyezi Mungu linatajwa kwa wingi. Na bila ya shaka Mwenyezi Mungu humsaidia yule anaye msaidia Yeye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mtukufu.
Quran inatamka majengo manne ya ibada
Msikiti
Kanisa
Sinagogi
Hekalu
Na inasema jina la Mungu hutamkwa kwa wingi humo.
Swali je aya hii unaiamini?
Mungu gani anatamkwa kwa wingi hekaluni, kwenye sinagogi na kanisa?
Je Kwasasa kulingana na uelewa wako wa usomi unaamini kwamba jina la Mungu bado linatajwa kwa wingi katika majengo hayo ya ibada? Kama la kwanini na unavigezo gani?
Je unaamini kwamba Allah siku ya kiama watu kama wakristo, wayahudi hawatauridhi ufalme wake mpaka wawe waislamu?.
Sitaki matusi na naomba kama huwezi maswali nyamaza nami nitajua nalo ni jibu.

Unahisi udini ni uislamu? au unahisi upo udini wa kikristo pia?Hili sio jibu sahihi kwasababu nahisi kuna chembe chembe za udini...
( الَّذِينَ أُخْرِجُوا مِن دِيَارِهِم بِغَيْرِ حَقٍّ إِلَّا أَن يَقُولُوا رَبُّنَا اللَّهُ ۗ وَلَوْلَا دَفْعُ اللَّهِ النَّاسَ بَعْضَهُم بِبَعْضٍ لَّهُدِّمَتْ صَوَامِعُ وَبِيَعٌ وَصَلَوَاتٌ وَمَسَاجِدُ يُذْكَرُ فِيهَا اسْمُ اللَّهِ كَثِيرًا ۗ وَلَيَنصُرَنَّ اللَّهُ مَن يَنصُرُهُ ۗ إِنَّ اللَّهَ لَقَوِيٌّ عَزِيزٌ )
الحج (40) Al-Hajj
Wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki, ila kwa kuwa wanasema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Na lau kuwa Mwenyezi Mungu hawakingi watu kwa watu, basi hapana shaka zingeli vunjwa nymba za wat'awa, na makanisa, na masinagogi, na misikiti, ambamo ndani yake jina la Mwenyezi Mungu linatajwa kwa wingi. Na bila ya shaka Mwenyezi Mungu humsaidia yule anaye msaidia Yeye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mtukufu.
AYA HII NI YA KWELI?
Na ndio maana nimemuanzia mbali sana, sikutaka nimpeleke moja kwa moja.Tatizo lugha ya kiswahili haielewi. Neno 'konde' likimaanisha shamba. Na shamba ni pale ukiweka mbegu zitamea. Sasa huko anapopazungumzia ukiweka mbegu zinamea?
Ujinga huo huwa wanadanganywa wapiga magoti kwenye mabenchi kwakuwa hawatafakari.
Kwakumsaidia,aya inasema "...waendeeni mpendavyo" si "mpendapo"
Nimetoa hadithi acha kukurupuka kama hujui kaa kimya.
Narudia tena hiyo sio Hadithi.Ungekuwa msomi ungeitafsiri hiyo hadhithi kwamba inamapungufu haya ama la au inalenga hili au la sio kubisha bisha.......
Mimi sijabisha, bali nlikuwa nakuweka wewe sawa ili usiupotoshe UmmaUngekuwa msomi ungeitafsiri hiyo hadhithi kwamba inamapungufu haya ama la au inalenga hili au la sio kubisha bisha.......
Hakuna mapungufu yoyote/Hamna mapungufu yoyote, kwasababu:-Ungekuwa msomi ungeitafsiri hiyo hadhithi kwamba inamapungufu haya ama la au inalenga hili au la sio kubisha bisha.......
Usije kumuamini kiumbe kinachoitwa Jinni hata siku moja. Waongo balaa, atakuja kwa sura ya Fatma wakati yeye ni Zwangedaba. Alafu makata ni jina la asili ujue !!.
Joke aside, Majinni au mapepo au kwa kiingereza Genie (Refer: if you want to be with me, there's some price to pay, am a genie in a bottle...) ni viumbe vilivyopo, wameumbwa kwa moto na wana advantage ya kutuona wakati sie bin Adam hatuwaoni.
Wamekuwepo duniani kabla ya bin adamu, kwa kuwa binadamu ndie kiumbe cha mwisho kuumbwa.
Kisheria, majinni wanapaswa kuishi kama wao katika communities zao, na ni makosa kwao kuwaingia binadamu na kuwasababishia madhara mbali mbali.
Na hapo ndipo tunapoambiwa kuwa Jinni anapokuwa mwema basi si Shetani na binadamu anapokuwa muovu naye huitwa Shetani kwa kuchukua yale matendo ya kishetwani.
Binadamu Mcha Mungu ana fadhila zaidi kuliko Kiumbe kingine chochote, na kwa ucha Mungu huo Nabii Suleiman kwa mfano alipewa uwezo wa kutawala jeshi kubwa la majinni waliokuwa watiifu kwake na waliomtumikia kwa kila jambo.
Back to your question, Uislamu ni dini iliyoshushwa kwa binadamu na majinni. Kama isemavyo aya kuwa 'Mwenyezi Mungu amewaumba binadamu na majinni ili wamuabudu.' Wale wanaomuabudu watakuwa ni waislamu kwa kuwa wamejisalimisha na kunyenyekea kwa Mola wao na wale wasioabudu si Waislamu. Hivyo hautamuona Jinni mwenye kuabudu akimuingia binadamu ili amdhuru, lakini utawaona wale wasioabudu wakifanya hivyo na kujiita majina wayatakayo wao ili ku create confusion.
Rohombaya umetishaLakum diinukum waliyadiin!!!!
Hakuna ukweli katika hilo, Pengo yupo above individual hatred, way above.Kwa nini askofu Pengo anamchukia sana Dr Dau?
Kea hiyo waislam wanaosema kuwa Askofu Pengo ndiye aliyemashinikiza Magu kumwondoa Dau NSSF na Tanzania ni waongo na Askofu Pengo ni swahiba mkubwa wa Dr dau au vipi??Hakuna ukweli katika hilo, Pengo yupo above individual hatred, way above.
Hizi chuki zenu za mitaani yeye hazimuhusu.
Jee, unajuwa kuwa Dr. Ramadhan Dau kapokelewa na Mfalme wa Malaysia kwa mizinga 21 na kukaguwa gwaride la heshima?
Waulize waandishi wetu wa habari vipi balozi wa Tanzania anapewa heshima kubwa namna hiyo wao hawaripoti?