Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

= talaka

AlhamduliLlah, ndoa yangu ni moja tu kwa mume mmoja tu kwa zaidi ya miaka 35 hivi sasa.

Unachouliza si kweli.
Kama hujafikisha miaka 55 kwa sasa ina maana uliolewa ukiwa bado hujafikisha miaka 18, hivyo inaonesha ulipenda dushele angali ukiwa bado mdogo. Je, unaweza kujitetea juu ya suala hili? Kama jibu ni "NDIYO" jitetee tafadhari, kama jibu ni "HAPANA" fafanua kwa kina tafadhari.
 
Naomba unipe fursa ya kuonana na wewe. Nitafurahi sana na itakuwa ni siri yangu.
 
Kuna mtu ameshauliza kuhusu elimu yako? Kama tayari basi nitarudi nyuma kutafuta mwenyewe. Kama bado ningependa kujua
 
= tafadhali
= tafadhali

Kuwa na heshima kidogo katika maswali yako na namna unavyojiwakilisha.

Heshima ni kitu cha bure.

Sheria za Tanzania umri wa kuolewa ilikuwa ni miaka 14 juzijuzi imefanywa kumi na tano. Sijuwi hivi karibuni kama wameongeza na kufika 18?

Miaka yangu hauna haja ya kukisia. Haikuhusu.
 
Ina maana uliolewa na miaka 14?. Kama jibu ni ndio ....je, ulikimbilia dushere au maisha yalikutandika?. Kama jibu ni hapana, fafanua kwa kina.
 
Unaweza kunitajia japo mambo mawili ambayo pamoja na uanachama wako kindakindaki wa CCM yamefanywa na uongozi au kusema na uongozi haukuyaafiki na ukalazimika kuyapigia debe japo hukuyapenda??
 
Ina maana uliolewa na miaka 14?. Kama jibu ni ndio ....je, ulikimbilia dushere au maisha yalikutandika?. Kama jibu ni hapana, fafanua kwa kina.

Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
 
Unaweza kunitajia japo mambo mawili ambayo pamoja na uanachama wako kindakindaki wa CCM yamefanywa na uongozi au kusema na uongozi haukuyaafiki na ukalazimika kuyapigia debe japo hukuyapenda??
Hakuna.

Ambalo sikubaliani nalo silipigii debe na nnalipinga kiutaratibu tuliojiwekea ndani ya chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…