T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Hapa ulimaanisha nini madameNnaota kwa lugha zote mbili hizo. Kumbuka, kama huoti kwa lugha uijuayo basi huijuwi vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ulimaanisha nini madameNnaota kwa lugha zote mbili hizo. Kumbuka, kama huoti kwa lugha uijuayo basi huijuwi vizuri.
Kwanza ningeomba unipe ushahidi wa wapi umesoma kuwa Mtume Muhammad sallah Allahu alayhi wa salaam ameoa "bint wa miaka 6". Kisha tuendelee.Unalichukuliaje suala la Mtume Mohammed kuoa binti wa miaka 6??? Nyie waislamu mnaona sawa hii?? Maana sijaona muislamu anayeoa binti wa miaka 6 Leo hii.
NOTE Mimi siamini katika dini so usinijibu kwa reference za dini nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba rudi kwenye post namba 2394 kabla hatujaendelea.Unalichukuliaje suala la Mtume Mohammed kuoa binti wa miaka 6??? Nyie waislamu mnaona sawa hii?? Maana sijaona muislamu anayeoa binti wa miaka 6 Leo hii.
NOTE Mimi siamini katika dini so usinijibu kwa reference za dini nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
‘Aaishah ( ﺭﺿﻲ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﻨﻬﺎ ) aliolewa na Mtume ( ﺻﻠﻰ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﻠﻴﻪ ﻭﺁﻟﻪ ﻭﺳﻠﻢ ) kabla ya kuhama Makkah kwenda Madiynah katika mwezi wa Shawwaal baada ya kufa Bibi Khadiyjah (( ﺭﺿﻲ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﻨﻬﺎ nae alikua na umri wa miaka (6) sita, na akaingia dukhuli katika mji wa Madiynah akiwa na umri wa miaka (9) tisa akiwa bikra, na wala Mtume ( ﺻﻠﻰ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﻠﻴﻪ ﻭﺁﻟﻪ ﻭﺳﻠﻢ ) hakuoa mke bikra isipokua yeye.Kwanza ningeomba unipe ushahidi wa wapi umesoma kuwa Mtume Muhammad sallah Allahu alayhi wa salaam ameoa "bint wa miaka 6". Kisha tuendelee.
Pia ningependa unipe source za Kiislam kwa kuwa unamuongelea Mtume anaefatwa na Waislam wote duniani.
Unaweza kuwa umeota tu au umesoma sources zisizo za Kiislam. Maana binafsi sijawahi kusoma popote kwenye sources za Kiislam kuwa Mtume Muhammad salla Allahu alayhi wasalaam alioa bint wa miaka 6 isipokuwa nayasoma hayo kutoka kwa wasio Waislam kama wewe.
Iweke hapa hiyo hadith au nipe reference. Rejea kama nilivyokueleza juu kidogo hapo, mimi sijawahi kusoma hilo ulisemalo.Nimesoma kwenye Hadith,nijuavyo Mimi hadithi za mtume Ni chanzo Cha kuaminika Cha habari za uislamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba reference au link nikaisome hiyo mimi mwenyewe.‘Aaishah ( ﺭﺿﻲ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﻨﻬﺎ ) aliolewa na Mtume ( ﺻﻠﻰ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﻠﻴﻪ ﻭﺁﻟﻪ ﻭﺳﻠﻢ ) kabla ya kuhama Makkah kwenda Madiynah katika mwezi wa Shawwaal baada ya kufa Bibi Khadiyjah (( ﺭﺿﻲ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﻨﻬﺎ nae alikua na umri wa miaka (6) sita, na akaingia dukhuli katika mji wa Madiynah akiwa na umri wa miaka (9) tisa akiwa bikra, na wala Mtume ( ﺻﻠﻰ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﻠﻴﻪ ﻭﺁﻟﻪ ﻭﺳﻠﻢ ) hakuoa mke bikra isipokua yeye.
'Aaishah (( ﺭﺿﻲ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﻨﻬﺎ amesimulia kwamba Mtume ( ﺻﻠﻰ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﻠﻴﻪ ﻭﺁﻟﻪ ﻭﺳﻠﻢ ) alimuoa nae akiwa na umri wa miaka sita (6) na kuitimiza ndoa yake kwa kitendo cha ndoa (dukhuli) akiwa na umri wa miaka tisa, (9) na baadae alibaki nae kwa miaka tisa. [Swahiyh Al-Bukhaariy].
ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
Nimesoma kwenye Hadith,nijuavyo Mimi hadithi za mtume Ni chanzo Cha kuaminika Cha habari za uislamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba reference au link nikaisome hiyo mimi mwenyewe.
Nijuavyo ndoa ya Kiislam haikamiliki mpaka kuwe na kuingiliana, tendo la ndoa.
Kwa sababu mimi nimesoma mtafiti wa Kiislam aliyebobea na historia ya Uislam aki "refute" hadith hizo na kuweka ushahidi wa kuwa mama yetu Bibi Aisha kaolewa akiwa na miaka 18 na source ni hii hapa: A Hadith Scholar Presents New Evidence that Aisha was Near 18 the Day of Her Marriage to the Prophet Muhammad | Hawramani.com
Ni kweli wewe ni mtalaka wa mshana??Iweke hapa hiyo hadith au nipe reference. Rejea kama nilivyokueleza juu kidogo hapo, mimi sijawahi kusoma hilo ulisemalo.
Pole kwa wote mkuu wangu, nadhani huu mwaka mambo yataanza kukaa vizuri kidogo.
Ndiyo matarajio yetu iwe hivyo ila kwa vyovyote vile tutafika tuPole kwa wote mkuu wangu, nadhani huu mwaka mambo yataanza kukaa vizuri kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah, lazima tufike tu mkuu. Come rain, come sun lazima tufike tu.
Sawa Mkuu usiku mwemaAaah, lazima tufike tu mkuu. Come rain, come sun lazima tufike tu.