Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Imeandikwa wapi muislam mpaka ukubali hadithi??Mkuu huyo mama hakubali hadithi yeyote ile kwa mujibu wa maneno yake.hana hadithi atakayoikubali ambayo haina chain ya wapokezi ambao ni ushahidi kuwa kweli imetoka kwa Mtume.
Kwa hyo hana hadithi ambayo haikupita kwa watu na kusimuliwa.
Mfano hadithi fulani ipo katika bukhari,bukhari kaipokea kutoka kwa fulani,na fulani kaipokea kwa fulani na fulani kaipokea kwa fulani,na fulani kaipokea kwa fulani na fulani kaipokea kutoka kwa abuu hurayra na abuu hurayrah kaipokea kutoka kwa Mtume.
Hadithi ndo zinaenda hvyo.hakuna hadithi atakayoikubali ambayo haina chain kama hiyo.
Kwa hyo manake anakataa hadithi jambo ambalo halifanyi muislamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo wewe unakunywa mkojo wa ngamia?
Unasafisha pua asubuhi kumfukuza shetani?
Unazamisha nzi bawa zote akiangukia kwenye chakula?
Unakojoa na kunya ukiitizama kibla?
Unakunywa hata maji ya mtoni kwakuwa maji hayawezi kuwa machafu?
Unaua makafiri mpaka wasilimu?
Unafadhili magaidi?
N.k n.k n.k n.k ??