Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kwanini marehemu muhammad alikuwa analelewa na jimama binti khadija? Mtoto wa kiume analelewaje kindezi?
Hapana si kweli, Mtume Muhammad salla Allahu alayhi wa Salaam, kamuoa bi Khadija, alayha Salaam, akiwa na umri wa miaka 25 kwa mujibu wa historia za Kiislam.
 
Sina swali lolote kwako ila ningependa tu kukwambia kuwa:

Uislam = Ubaguzi
Uislam = Udini
Uislam = Unyama
Uislam = Ugaidi
Uislam = Uongo
Uislam = Chuki

Mnajenga msikiti juu ya temple of david (temple mount) mnadanganya watu kuwa ni nyie ndio wa kwanza pale.

Mnailaumu Marekani na Uingereza kwa kila kitu ila kibaya ila ndio nchi za kwanza mnazokimbilia kutafuta maisha bora.

Wenyewe kwa wenyewe mnatengeneza makundi katika dini yenu alafu mnauana kwa kuona hao wenzenu hawana imani ya kweli.

Nchi yenu yenye sehemu utakatifu inanyima haki ya kuzungumza, wanawake na haki zao na dini nyingine.

Mnalaumu west kwa kuwabagua waislamu wakati nchi zenu mliwafukuza ambao si waislam na kuchoma nyumba za ibada zao.

Juzi hapa zanzibar mnaandamana kupinga kujengwa kaanisa.

Penda usipende, cha mtu ni cha mtu kwa hio utapinga haya ila tambua kuwa uislam ni tishio na cult hatari sana.
Hayo ni nawazo yako uliyojazwa nayo ujinga wa chuki na ujinga ukakujaa bila kufikiri.

Pole sana.
 
salaam Bib.
i kuna sehemu niliona umesema hadi ndoto unaotaga kwa kiingereza hahahah umewezeje wezaje
Wanafalsafa wanasema lugha unayoota na kutukana nayo ndiyo lugha mama kwako.

Sisi tuliosoma zamani kuanzia darasa la kwanza tumesomeshwa kwa Kingereza tu, kwa hiyo kuota kwa Kingereza inakuwa ni kawaida tu.

Kwa maana hiyo, naweza kuota kwa lugha tatu tofauti kiufasaha. Zingine nazijuwa juwa tu, sioti kwazo.
 
Unazungumziaje Waislam wanaouana kule syria na libya na sudan.

Je kuua wenzako ndiyo mafundisho ya uislam wenu?

Je na wale waislam mawakala wa al qaeda waliochinja wamarekani Je walitumwa na mtume muhammadi??
 
Waislam Siyo Uislam.

Uislam ni nwema sana.

Umeuliza mengi sana kwa pamoja, uliza moja moja nipate kukujibu kwa uelewa wangu.

Kuwa nshomile wa kweli.
 
Heshima yako Madam, Mimi ningependa kujua ni kwa namna Gani Mgogoro Kati ya Palestine Na Israel Ungeweza kutatuliwa, kwa Sababu tunaona Watoto wadogo Na Wanawake wanazidi kufa kila Siku Na hawana hatia,
 
Samahani naomba ushahidi wa Quran kwenye mambo yafuatayo:

1) Kuna makosa adhabu yake ni kupigwa mawe. (Naomba ushahidi kwamba ni Mungu mwenyewe ndiyo ametamka)

Hakuna hukumu hiyo kwenye Qur'an.

Maswali yako mengine ntakujibu posts zingine, kila moja na post yake.

Nakushauri, uliza swali moja moja ili iwe wepesi kuyajibu na kueleweka.
 
Kwanini nina hisi wewe ni fake, unajificha kujifanya mwanamke ili watu wasikujue wewe ni nani?
Yote yanawezekana, mitandao ya kijamii si lazima tujuwane, anaetaka kujulikana atakuja kama verified member.

Hata wewe sifahamu ni mwanamke au mwanamme na sina haja ya kufahamu.
 
Waislam Siyo Uislam.

Uislam ni nwema sana.

Umeuliza mengi sana kwa pamoja, uliza moja moja nipate kukujibu kwa uelewa wangu.

Kuwa nshomile wa kweli.

Sina muda wa kuuliza moja moja kwa awamu.

Nina kazi nyingi wewe jibu unaloweza au unaenda kwanza kugugo?

Nyie dini ya mnyaaazi mnajikuta sana nyinyi kumbe hamna kitu
 
Heshima yako Madam, Mimi ningependa kujua ni kwa namna Gani Mgogoro Kati ya Palestine Na Israel Ungeweza kutatuliwa, kwa Sababu tunaona Watoto wadogo Na Wanawake wanazidi kufa kila Siku Na hawana hatia,
Kwa mtazamo wangu, mataifa ya kimagharibi, hususan Uingereza na USA wakiamuwa mgogoro huu uishe basi utaisha ndani ya muda mchache sana.

Waliounzisha mgogoro huu ni mataifa ya kimagharibi na wao wanaweza kuumaliza haraka sana wakipenda.
 
Sina muda wa kuuliza moja moja kwa awamu.

Nina kazi nyingi wewe jibu unaloweza au unaenda kwanza kugugo?

Nyie dini ya mnyaaazi mnajikuta sana nyinyi kumbe hamna kitu
Kama hauna muda uliza moja moja kila post, si lazima uyarundike yote post moja.

Google ni nyenzo nzuri sana ya mtandao, naitumia sana, lakini imeanza kupitwa na wakati, kuna nyenzo zingine zipo advanced zaidi.

Mengine hayo ni mawazo yako duni, sina sababu ya kupingana na mawazo yako.

Wahenga walisema "asili ya mtu duni huona vitendo vyake".
 
Back
Top Bottom