Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halijapotea lipo, makarani wanataka kuwatoa upepo au upande wa pili wamechezesha na makarani ili ku buy time!!wakuu hivi kisheria imekaaje tupo mahakaman hapa wanandugu ila sasa cha ajabu faili wanasema limepotea halionekan so ina mana shauri limekwama.je tufanyeje au lawyer yupi mzur kwa hapa mitunduruni
Ndugu, naamini uchawi upo kwa vile mahakama ndio mambo. Faili limechkuliwa na karani kasahau alipoliweka. Je huwez kufanya kitu kisheria maana wanasema shauri haliwez kwenda fail halionekan.Halijapotea lipo,makarani wanataka kuwatoa upepo,au upande wa pili wamechezesha na makarani ili ku buy time!!
Hivi mkuu faili likipotea nani awajibike na kwanini mimi niteseke kwa sababu ya wafanyakazi wa mahakama kupoteza faili langu. Hivi unaiweza kuishitaki mahakama pia?Halijapotea lipo,makarani wanataka kuwatoa upepo,au upande wa pili wamechezesha na makarani ili ku buy time!!
Dawa yao ndogo hao wewe muandikie Msajili barua ya Malalamiko kuhusu upotevu wa file lako, dakika 2 litapatikana, jalada la Serekali haliwezi kupotea bila official statement!!Hivi mkuu faili likipotea nani awajibike na kwanini mimi niteseke kwa sababu ya wafanyakazi wa mahakama kupoteza faili langu. Hivi unaiweza kuishitaki mahakama pia?
Msajili yupi? Kuna wasajili wengi, msajili wa mahakama, msajili wa mabaraza ya ardhi, msajili wa mahakama ya rufani?Dawa yao ndogo hao wewe muandikie Msajili barua ya Malalamiko kuhusu upotevu wa file lako, dakika 2 litapatikana, jalada la Serekali haliwezi kupotea bila official statement!!
Amwandikie Naibu Msajili wa Mahakama kuu maana lazima jalada litakuwa halionekani huko Mahakama za mwanzo, na ndiyo wenye michezo hiyo ya kuficha au kupoteza majalada, huo ujinga wa hupotevu wa majalada hauwezi hata siku moja kuukuta Mahakama ya Rufani!!msajili yupi? kuna wasajili wengi.msajili wa mahakama .msajili wa mabaraza ya ardhi, msajili wa mahakama ya rufani ?
Limepotezwa halijapoteaWakuu hivi kisheria imekaaje tupo mahakamani hapa wanandugu ila sasa cha ajabu faili wanasema limepotea halionekan so ina maana shauri limekwama. Je tufanyeje au lawyer yupi mzuri kwa hapa mitunduruni
Nahis primary court maana huko kuna michezo hata hujui hivi mamlaka za kuwawajibisha huwa ni zipi?Kesi ipo Mahakama gani?
Hakimu anayesikiliza shauri anasemaje?
Option ni mbili, kwanza kufungua supplementary file, pili, kusubiri litafutwe, it's possible mafaili kuwa misplaced, manual handling of files zina shida zake, mnaweza kuwa mnalipita hapo hapo, ila tu haliko sehemu sahihi, kwa hiyo mkashindwa kujua liko hapo.Jaribu kuongea na ChoiceVariable au chiembe wakusaidie
Uchawi upo, kuna kesi moja jalada zima liliwa na mchwa, mengine yakabaki salama, karani anatoa udongo wa mchwa kumbe ndio faili lenyewe, na mteja kakaa nje anasubiri faili lipatikane.Ndugu, naamini uchawi upo kwa vile mahakama ndio mambo. Faili limechkuliwa na karani kasahau alipoliweka. Je huwez kufanya kitu kisheria maana wanasema shauri haliwez kwenda fail halionekan.
Iyo ya Fortunas mbona balaaUchawi upo, kuna kesi moja jalada zima liliwa na mchwa, mengine yakabaki salama, karani anatoa udongo wa mchwa kumbe ndio faili lenyewe, na mteja kakaa nje anasubiri faili lipatikane.
Pia kuna kesi ya Fortunatus Masha vs William Shija, ubunge wa sengerema, faili lipo, ila jaji akiingia mahakamani kusoma hukumu, anakuta halina maandishi, akirudi ofisini, anayakuta maandishi.
Too many scenarios