Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Pascal Mayalla tunaomba Msaada wa mawazo yako hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anayeruhusiwa kufungua supplementary file ni wakili? au unaandika barua? sisi tumetoka mazikoni vizur tu baada ya kurudi shelui msimamiz wa mirathi mjomba wetu ndio katugeuka anatumia mwenyewe.ndio kuamua hebu twenden kwanza hajaifungq mirathi awe revocate. kufika limeonekana vizur tu, na karan alilamba 20 ya maziwa mana alisema store vumbi kweli. kesho yake linatafutwa jengo zima ghost aliyelibeba hajulikan. hivi mana ndio ilikua siku ya kumuita anko.Option ni mbili, kwanza kufungua supplementary file, pili, kusubiri litafutwe, it's possible mafaili kuwa misplaced, manual handling of files zina shida zake, mnaweza kuwa mnalipita hapo hapo, ila tu haliko sehemu sahihi, kwa hiyo mkashindwa kujua liko hapo.
Supplementary file linakuruhusu kuendelea na proceedings.
Take a scenario ambapo mahakama imeungua moto au imepata natural disaster and the records are destroyed, that does not mean your rights are destroyed too.
Mahakama ndio inafungua hilo faili, mwambie hakimu, asipoelewa, muone in charge, asipoelewa nenda kwa in charge mahakama ya wilaya, asipoelewa nenda kwa in charge mkoa, asipoelewa nenda kwa msajili, asipoelewa nenda kwa Jaji in chargeanayeruhusiwa kufungua supplementary file ni wakili? au unaandika barua? sisi tumetoka mazikoni vizur tu baada ya kurudi shelui msimamiz wa mirathi mjomba wetu ndio katugeuka anatumia mwenyewe.ndio kuamua hebu twenden kwanza hajaifungq mirathi awe revocate. kufika limeonekana vizur tu, na karan alilamba 20 ya maziwa mana alisema store vumbi kweli. kesho yake linatafutwa jengo zima ghost aliyelibeba hajulikan. hivi mana ndio ilikua siku ya kumuita anko.
Mahakama ndio inafungua hilo faili, mwambie hakimu, asipoelewa, muone in charge, asipoelewa nenda kwa in charge mahakama ya wilaya, asipoelewa nenda kwa in charge mkoa, asipoelewa nenda kwa msajili, asipoelewa nenda kwa Jaji in charg
Mahakama ndio inafungua hilo faili, 1qmwambie hakimu, asipoelewa, muone in charge, asipoelewa nenda kwa in charge mahakama ya wilaya, asipoelewa nenda kwa in charge mkoa, asipoelewa nenda kwa msajili, asipoelewa nenda kwa Jaji in charge
shaur ndio lipo kwa incharge huyo huyo. kwa hio hapa msomi inabidi barua ya kuomba afungue? yeye kasema nenden mtaitwa likipatikana siku yoyote.Mahakama ndio inafungua hilo faili, mwambie hakimu, asipoelewa, muone in charge, asipoelewa nenda kwa in charge mahakama ya wilaya, asipoelewa nenda kwa in charge mkoa, asipoelewa nenda kwa msajili, asipoelewa nenda kwa Jaji in charge
Mwambie incharge aache ujinga,akupeni fix date ya kuja kufanya follow up, inamaana lisipopatikana ndiyo hamta itwa!!??shaur ndio lipo kwa incharge huyo huyo. kwa hio hapa msomi inabidi barua ya kuomba afungue? yeye kasema nenden mtaitwa likipatikana siku yoyote.
Kuna uzi wa shuhuda za uchawi mahakamani ucheki😀😀Wakuu hivi kisheria imekaaje tupo mahakamani hapa wanandugu ila sasa cha ajabu faili wanasema limepotea halionekan so ina maana shauri limekwama. Je tufanyeje au lawyer yupi mzuri kwa hapa mitunduruni
brother. Tumeamua na mim namuachia mungu atahukumia. sitakanyaga tena primary cort wala district. walioitafuta mali wapo ardhin wapo wanapambania amali zao kwa mola. kama makaran wamelificha kama limeliwa na mzimu kama limekua misplaced yote kwa yote tunamuchia mola.kwa sasa tunakata rufaa mbinguni na si hapa ardhin. lets see karma goesMwambie incharge aache ujinga,akupeni fix date ya kuja kufanya follow up, inamaana lisipopatikana ndiyo hamta itwa!!??
Sasa sikiliza usimwachie Mungu wakati Mungu kakupa akili ya ku master mazingira yako, aandika barua kwa Naibu Msajili wa Mahakama kuu kuhusu kupotea kwa file lako huku ukielezea majibu na kadhia zote ulizo pata huko Mahakama za chini,Msajili nae atakujibu kwa barua,baada ya hayo majibu ya Msajili kwako ndiyo yatakupa mueongozo mzima kwenye haki yako! Mtafute Mwanasheria aku draftie kama vile wwe ndiyo umeandika unampoza kidogo mambo yanakwenda! Usiogope vyombo vya sheria, maana mwenye haki ndiyo ana shinda na wala si pesa au umaarufu!!brother. Tumeamua na mim namuachia mungu atahukumia. sitakanyaga tena primary cort wala district. walioitafuta mali wapo ardhin wapo wanapambania amali zao kwa mola. kama makaran wamelificha kama limeliwa na mzimu kama limekua misplaced yote kwa yote tunamuchia mola.kwa sasa tunakata rufaa mbinguni na si hapa ardhin. lets see karma goes