Failure of Amina Mohamed and propaganda of French-speaking countries

Failure of Amina Mohamed and propaganda of French-speaking countries

Mimi nimekuuliza shida yako ni nini?
Unahangaishwa na vijimambo vidogovidogo!!
Yakija mambo muhimu huna lolote
ni wewe peke yako ndiye unatapatapa kwenye huu Uzi, u don't have anything here. sijaona mkenya mwingine zaidi yako,
We are thinking of Uniting The whole Africa to a single country..meanwhile You Kenyans are are building a fence against Somalis, who will vote for you?? And besides Kenya is a Nepotism hotbed, (and u also know it), we (The united republic of Tanzania), votes because of Merit, and not favour.
 
Edward Wanjala
You can't compare amina with the guy. Your lady is not the international figure. She is known only in Kenya. No one is aware of her existance.
 
I am very disappointed that she lost the race; I really wanted to see her at the helm. The representatives of Uganda and Burundi and Djibouti have let us down.
 
Huwezi ongea hivyo kwa Amina, Kama we humjui usidhani watu wengine hawamjui! Amefaanya Kazi hadi Geneva
Kafanya kazi gani huko geneva? Pia leta CV yake tuweze compare na ya huyu aliyeshinda. Acheni kutuzingua vijana. Hiyo issue ya Amina ilikuwa projecta maalum ya Uhuru kwaajili yake.
 
Hata Kenya hatuna ubaguzi!! Wao na watu kama nyinyi ndio mnaleta haya mambo, we ulisikia eti Francophone hawawezi votia Anglophone? Kwanza Tanzania hamko kwa hizi group, sa sijui unalalamika nini?

Wewe unaweza sikia aje rafiki yako unayemwamini akikutoroka wakati umekabwa???

Hiyo huitwa usaliti
Ni kweli Tanzania hatupo anglophone wala francophone, sisi ni non -alignment movement(hatufungamani Na upande wowote).
 
Rwanda, Burundi and Uganda have issued a joint statement explaining why they did not vote for Amina in the final round.
They heard Mwangi Kiunjuri repeatedly make the statement "I AM CHAD" and thought Kenya had withdrawn to back Chad candidate.
We learned later Kiunjuri meant to say "I AM SAD"
On behalf of East African Community, Museveni has apologized to Kenya and asked Uhuru to avoid sending delegates who speak their mother tongue during such important events!
Very interesting!!
 
Ni kweli Tanzania hatupo anglophone wala francophone, sisi ni non -alignment movement(hatufungamani Na upande wowote).

Hii ndio tabia mbaya tunasema hapa kama wa Africa! Nyinyi kujifanya eti ndio wajaja hapa!!! Ujamaa huu wenu mtashinda maskini
 
Huwezi ongea hivyo kwa Amina, Kama we humjui usidhani watu wengine hawamjui! Amefaanya Kazi hadi Geneva
Which post was she holding in Geneva...... asije akawa alikuwa afisa ubarozi tu ndo ukaanza kuwalinganisha na "the winner" ambaye ni type ya kina Augustino Mahiga.
 
Nyerere J. k aliwaisema dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana. Mkianza sisi Watanganyika wao Wazanzibar, haitaishia hapo ipo siku itakuwa sisi waunguja wao wapemba, sisi wanyamwezi wao Wazaramo

Ndicho kinatokea Kenya, Ukabila na Usisi unawatafuna. Sasa baaada ya ukabila kuitafuna Kenya, wanataka sasa tujiite sisi wa Afrika Mashariki, wao Wamagharibi ya Afrika.

Nchi hii ni ya Watu wabinafsi na walafi
Kabisa ina walafi wasioshiba
 
Amina haweZi shinda kamwe loser !!!!!
 
Back
Top Bottom