Fainali 6 ubingwa mara 5 uefa, Carlo Ancelloti anachukuliwa poa sana + underrated, hapati heshima anayostahili

Fainali 6 ubingwa mara 5 uefa, Carlo Ancelloti anachukuliwa poa sana + underrated, hapati heshima anayostahili

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
DON CARLO ANCELOTTI

1717277595501.png
 
Muujiza unatokana na aina ya wachezaji alio nao, it's all about class of players. Mbona Everton hajafanya kitu na ilibakia nusu waporomoke kabisa.
Wabongo mnalishana sana matango pori. Hii ni official site ya Everton, angalia ni wapi alitaka kuwashusha daraja. Angalia tangu aondoke ni kocha gani amefikia rekodi zake za ushindi.

Madrid bila kocha inaweza kubeba UEFA back to back
Hii timu Ina world class player kwenye kila angle
Wanatandaza kabumbu ipasavyo
Msimu ujao.

Strikers watakuwa Mbappe, Vini jr, Endrick, Rodrygo......(nimechoka kutaja malizia mwenyewe)

NGUVU YA PESA! UWEKEZAJI WA KUELEWEKA
 
Madrid bila kocha inaweza kubeba UEFA back to back
Hii timu Ina world class player kwenye kila angle
Wanatandaza kabumbu ipasavyo
Madrid imekuwa na world class tangu miaka ya nyuma, mwaka 2002 ilibeba uefa, tangu hapo real haikubeba mpaka 2014 Carlo anceloti alipokuja, tangu 2018-2021 real Madrid haikuwa poa na walishafukuza makocha watatu(lopetegui, solari na Zidane), usimchukulie poa don Carlo, mi nikiangilia hii real ina wachezaji WA kawaida wengi
 
Tena hii ndio real ambayo haikupaswa kutoka na hili kombe maana wachezaji ni wa kawaida sana sema msimu ujao itakuwa moto zaidi
 
Back
Top Bottom