Fainali ASFC, Mtibwa Sugar Vs Singida United, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Lete updates wakuu mlioko uwanjani.
 
Issa Rashid anapewa kadi nyekundu upande wa Mtibwa Sugar
 
84' Mpira matokeo bado 2-2 fainali kombe la Shirikisho
 
Goooooooal ..Ismail anaipatia Mtibwa Sugar

Mtibwa Sugar 3-2 Singida United
 
Naam Mpira umekwisha aaaa. Mtibwa Sugar ni bingwa wa ASFC
 
Singida waungana na Yanga kukosa Michuano ya Kimataifa[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kocha wa Singida ameshika kiuno..Haamini kilichotokea kwenye hizi fainali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…