Fainali ASFC, Mtibwa Sugar Vs Singida United, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Fainali ASFC, Mtibwa Sugar Vs Singida United, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Insha Allah, Japo nimekuja sana pm nimekuta kufuli
[emoji120] [emoji120] [emoji120]

Duuh! Pole. Ila ungeniambia sasa.

Nikatafuta kale kaufunguo ili mlango niuache wazi. [emoji85]
 
Hongereni mtibwa sugar,al angalau nanyi mpande ndege tuwe tunamsikia kifaru kutoka Comoro au hata Eritrea huko sio kila siku anaongelea kwenye mashamba ya miwa
 
Kombe la Shirikisho la Azam Sports
IMG_20180602_180651_261.jpg
 
Mtibwa fc wamechukua kombe, swali kubwa ni hili je watashiriki kimataifa?

Nijuvyo waliondolewa na kwa kumbukumbu hawashiriki kwa miaka mitano mfululizo...

Ngoja tuone, kama hatujaingia kwenye mgogoro wa kushindanisha mshindi 2 wa ligi na wa azam ili kupata mwakilishi...... Nawaza kwa kuandika tu...
 
Nimefuatilia fainali ya ASFC ,nikashangazwa kusikia hakuna kipa bora...TFF vigezo gani mmetumia na kuona hakuna kipa anaestahili.Mnavunja moyo makipa waliotoa jasho na damu kupigania timu zao..kweli Leo mmetuangusha.
 
Back
Top Bottom