Kocha wa Azam huyoKocha wa Singida ameshika kiuno..Haamini kilichotokea kwenye hizi fainali
Hahaaa. LolSingida waungana na Yanga kukosa Michuano ya Kimataifa[emoji120][emoji120][emoji120]
Ni kweli ila leo ni Mtibwa na Singida ujue Mtani. Hahahaaa.Mtani kwani ni uongo. Mambo ni Simba SC na Mtibwa Sugar Kimataifa
Yamejirudia ya Kaduguda. Kila la kheri kwa uwakilishi mwakani tunataka mabadiliko katika ushindani sio uwakilishi tulio zoweaMtani kwani ni uongo. Mambo ni Simba SC na Mtibwa Sugar Kimataifa
Hahaaaa. Naja aiseee.
Umeadimika ila kulikoni?
Alipokua Kaimu Katibu Mkuu FATYamejirudia ya Kaduguda. Kila la kheri kwa uwakilishi mwakani tunataka mabadiliko katika ushindani sio uwakilishi tulio zowea
Ooh. SawaNipo, nimehamia jukwaa la siasa kwa sasa mpaka mfungo utapomalizika
Ni kweli ila leo ni Mtibwa na Singida ujue Mtani. Hahahaaa.
Ooh. Sawa
Kila la kheri katika funga yako. Insha Allah.
Ooh. Sawa Kaka.Hahahahaha, ni wa muda sana halafu pia ni nyumbani kabisa. Karibu sana Manungu Turiani
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Insha Allah, Japo nimekuja sana pm nimekuta kufuli
Ooh. Sawa Kaka.
Ntakaribia siku moja nije kula miwa. Hahaa.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Duuh! Pole. Ila ungeniambia sasa.
Nikatafuta kale kaufunguo ili mlango niuache wazi. [emoji85]