Sasa unataka TFF ifanye nini iwe na Klabu au?Vijana wako vizuri, ila shida ni muendelezo wao, tff haina program nzuri ya kuwaendeleza hawa vijana.
Hao vijana wanatakiwa wawe na mawakala wazuri ili wawatafutie timu Sio kuwalaumu tu TFF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unataka TFF ifanye nini iwe na Klabu au?Vijana wako vizuri, ila shida ni muendelezo wao, tff haina program nzuri ya kuwaendeleza hawa vijana.
Mkulu mdomoni una mapengo nini? eti Bongera!Tumeshindaaaaa,1-0. Bongera vijana..
ilikuwa furaha,weka 'h' kwenye 'b' ie hongera.Mkulu mdomoni una mapengo nini? eti Bongera!