Fainali CECAFA U20: Tanzania bara VS Kenya

Fainali CECAFA U20: Tanzania bara VS Kenya

Vijana wako vizuri, ila shida ni muendelezo wao, tff haina program nzuri ya kuwaendeleza hawa vijana.
Sasa unataka TFF ifanye nini iwe na Klabu au?
Hao vijana wanatakiwa wawe na mawakala wazuri ili wawatafutie timu Sio kuwalaumu tu TFF
 
Hongera Makonda Hongera Magu 😎

Kutoa Sifa ni Utumwa Tuache
 
Asanteni Sana Vijana, at least mmetufutia aibu
 
Back
Top Bottom