AC MILAN VS MAN U HAIJAWAHI TOKEA MKUU hapa unatupigaMi niongeze iende mpaka 20 yrs, Final ya Ac Milan vs Juventus, Ac Milan vs Man united, Ac Milan vs Liverpool, Real Madrid vs Atletico ndizo final bora kbs kwangu for all 20 yrs.
Itakuwa wewe hujui kusoma,Itakuwa ww mtoto sasa.
Nimecheka sana baada ya kusoma hii koment.Man city bingwa
Man city vs chelsea ..
ilikuwa bonge la final aisee
Uliingalia fainali ya man utd na chelsea???Fainali nyingi zilikuwa hovyo hasa miaka ya karibuni zimekuwa upande mmoja sana.
Ni fainali mbili tu miaka kumi iliyopita unaweza sema ilikuwa 50/50 timu zote zilipambana hadi sekunde ya mwisho
Dortmund v Bayern 2013
Paris v Bayern 2020
Fainali mbovu kuliko zote ni Liverpool v Spurs, ilikiuwa hovyo kupita hata ile ya Milan v Juve mwaka 2003 pale old traffold
Yeah ilikuwa moja ya fainali ya ushindani sana.Uliingalia fainali ya man utd na chelsea???
Bonge moja la fainali 50/50 ilee
Binafsi fainali timu ikifungwa zaidi ya goli mbili naona sio fainali nzuriHivi ndo kusema mtiti wa 2011/12 Bayern Munich Vs Chelsea mmeusahau? Au ni hasira zenu na chuki tu dhidi ya Chelsea?[emoji12]
Ngoma imeenda hadi 120 kwa header la kiroho mbaya lililotandikwa na mmatumbi, Robben ananoa penalti ndani ya extra time, watu wanahema vya hatari, game inaisha kwa mbinde la matuta, wanaume wamepambana hadi mwisho ndo bingwa anapatikana!
Mnatuletea habari za game ambazo mtu anakufa 4-1! Fainali unapigwa mabao manne? Imekuwa rede? Fainali tamu mchezee kwenye 1-0, 2-1, 3-2 mwisho, zaidi ya hapo ni NBA.
Mada yenyewe inasema within 10yrs, mnafosi kwenda hadi 1990's huko ili tu msiisifu hii burudani[emoji16]
Semeni kiliumana!!!!
Hapa Fergie aliamua kulinda heshima yake.Barcelona walikuwa katika ubora wa aina yake!
Sir Alex miaka kadhaa baadae alihojiwa kuhusu Fainali ile akasema alirudia kutazama zaidi ya mara mbili fainali ile akagundua Man Utd hamna sehemu walikosea ila walikutana na timu bora sana!
Kabisa. Ladha ya fainali inapotea. Eti fainali inaisha 5-2, hiyo ni takataka.Binafsi fainali timu ikifungwa zaidi ya goli mbili naona sio fainali nzuri
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]acha kujitungia uzi, tutajie ya miaka 10 bhana
Hili game lilikua hata sanaa. Linanikumbusha vitu vingi sana moja ya vitu hivyo ni kuiona tactic ya false No 9 inavyokua effective. Hatar sanaaIle ya Manu vs Barcelona mpaka Sir Alex akaanza kutetemeka mikono.
Hii came back matata kwenye fainali niliowahi kuishudia.Kila mtu anajua
The night in instanbul ..
AC Milan Vs Liverpool
Miaka 10 kumbuka