Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fainali ya kibabe ndani ya Luzhniki Stadium, nakumbuka umeme ulikatika sehemu kubwa ya TanzaniaChelsea v Man U
Uharo mtupu
🚮🚮🚮Kwa wasio jua mpira watasema fainali mbovu. Hakuna fainali mbovu acheni ushabiki mandazi. Hapo kila fainali mlizotaja zilikuwa kali sema mnapenda mashibobo na besela mengi matobo na venga makanzu. Hakuna final ya UCL ilioboa labda kwa mashabiki mandazi.
Ilikuwa ya kawaida tu kwa mtazamo wangunaona mmesahau ya 2010, inter ya mou vs bayern.......
mou alifanya upumbavu wa kupaki bus, worst final
Bila kusahau fainali ya kombe la dunia mbovu ni Ile ya mwaka 2018, France vs Croatia ..