Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Kuna watu wanaeneza uongo kwa kudai kuwa CAF CUP waliyofika fainali Simba ndiyo Shirikisho leo hii Siyo kweli.
Mwaka 1993 barani Afrika kulikuwa na mashindano aina tatu
1. Kulikuwa na Champions Cup (Sawa na klabu bingwa leo hii) ambapo Tanzania iliwakilishwa na Malindi kama Bingwa wa Ligi ya Muungano Fainali ilicheza ASANTE KOTOKO na ZAMALEK, ZAMALEK wakachukua kwa penalt
chanzo
en.wikipedia.org
2. Kulikuwa na Kombe la washindi barani afrika (Sawa na shirikisho hivi sasa) Tanzania iliwakilishwa na Pamba ya mwanza kama bingwa wa FA cup kipindi hicho liitwa Nyerere cup fainali walicheza African Sports na Al Ahly ambapo Al Ahly ya Misri walichukuwa kombe kwa goli 2-1
chanzo
en.wikipedia.org
3. Halafu sasa ndo kukawa na kijikombe kilichoitwa CAF CUP kilichotolewa na mwanasiasa Mashoud Abiola hiki sasa ndo Simba walicheza Fainali na Stella
chanzo
en.wikipedia.org
Kukuonesha tu kwamba kombe hili halina hadhi ya shirikisho baada ya mashindano kwisha Bingwa wa Champions Cup yaani Zamalek alicheza na Bingwa wa Kombe la washindi barani afrika kombe maalum lililoitwa Super Cup mwaka 1994 (Zamalek Vs Al Ahly)

1993 African Cup of Champions Clubs - Wikipedia
2. Kulikuwa na Kombe la washindi barani afrika (Sawa na shirikisho hivi sasa) Tanzania iliwakilishwa na Pamba ya mwanza kama bingwa wa FA cup kipindi hicho liitwa Nyerere cup fainali walicheza African Sports na Al Ahly ambapo Al Ahly ya Misri walichukuwa kombe kwa goli 2-1
chanzo
African Cup Winners' Cup - Wikipedia
3. Halafu sasa ndo kukawa na kijikombe kilichoitwa CAF CUP kilichotolewa na mwanasiasa Mashoud Abiola hiki sasa ndo Simba walicheza Fainali na Stella
chanzo
1993 CAF Cup - Wikipedia