Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,377
- 1,861
Sawa mkuuSubiri mpaka dakika ya 120!! Baadoo!! 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuSubiri mpaka dakika ya 120!! Baadoo!! 😁
Mkurugenzi, penati hazina mwenyewe. Waulize Geita Gold, watakuambia.Wananchi tukiingia penati tunatoka
Wewe sio kama wafuasi wengine, bali wewe ni shabiki unayeufahamu mpira mkuu!Hii mechi tukishinda, mimi kama shabiki wa Yanga sitashangilia. Maana kwa kweli haikuwa nyepesi hata kidogo.
Huyu Sopu ni mshambuliaji mkatili sana.
Penati hazina wenyewe kweli, niliumia sana nilipotolewa robo ya CAF federation kwa penati.Mkurugenzi, penati hazina mwenyewe. Waulize Geita Gold, watakuambia.
Nipe mawasiliano yao mkuu fasta niwaulize🤣Mkurugenzi, penati hazina mwenyewe. Waulize Geita Gold, watakuambia.
Hata ile ya Geita Gold hawakustahiliYanga hatustahili kushinda hii Game
Narudia tena
Yanga alistahili kushinda zaidi ya goli 3 ndani ya dk 90'.Yanga hatustahili kushinda hii Game
Narudia tena